Polisi wakamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe machinjio ya Tegeta

Polisi wakamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe machinjio ya Tegeta

Wao ndio hawana jema, waliiba minofu pale Buguruni

Hivi wewe huwa unafuatilia habari kweli au unapenda tu kubishana kwasababu unalipwa buku saba

Buku saba ndio nini

Swala la wizi halipo kwenye sera za serikali wala vyama, ni la mtu binafsi na ashutumiwe na kushughulikiwa mhusika... ku generalise ni kuwachafua wengine.

Hivi Mbowe alipoiba michango ya wenzie mlimfanyaje☺☺☺
 
Ni hoja ulioamua kujifariji nayo toka jpm afariki..actually maisha yako yote utalaumu kila kitu kwake ambayo naona ni nzuri inaonesha alikuwa na nguvu kiasi gani katika hatima yako na ni kwa kiasi gani amejenga kibanda ubongoni mwako kiasi huwezi tenganisha chochote kinachoendelea fikrani mwako na yeye..u need see a shrink
Wacha upumbaf wewe sukuma gang,unakuwa kama moto wa kifuu kisa kasemwa babako?
 
Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo

Habari za awali zilizopatikana katika eneo hilo zinasema kuwa wachinjaji ng'ombe katika machinjio hayo walikuwa katika maandalizi ya kuwachinja na kuiingiza nyama ya mizoga hiyo sokoni.
Kweli sukuma gang mnahangaika sana na mtahangaika sana na bado.
 
Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo

Habari za awali zilizopatikana katika eneo hilo zinasema kuwa wachinjaji ng'ombe katika machinjio hayo walikuwa katika maandalizi ya kuwachinja na kuiingiza nyama ya mizoga hiyo sokoni.
Si mara ya kwanza kwa mizoga kukamatwa machinjio ya Tegeta. Kuna wkt serikali ilifunga kabisa machinjio hayo baada ya kukuta semi trailer imejaa mizoga
 
Hiyo kesi mbona wataikwepa kirahisi tu,si watasema walikuwa wnaenda kuitupa...
 
Wamjaribu mama kivipi kwa mfano, hayo yote ni ugum wa maisha haya yaliyosababishwa na jiwe mwendazake, wavute subira good days are coming, our prayers to our beautiful mother of the nation.
Ukoo wako utakufa kwa umasikini kama akili yenyewe ndio hii
 
Hapo ni tabia zao nishawahi shuhudia saa saba usiku natika kwenye harusi kuanzia mataa ya kibaoni kirikuu ilikuwa mbele yangu ndani kuna mzoga wa ng'ombe kalala kavimba tumbo wakaelekea kule machinjioni
 
Back
Top Bottom