Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Ni hoja ulioamua kujifariji nayo toka jpm afariki..actually maisha yako yote utalaumu kila kitu kwake ambayo naona ni nzuri inaonesha alikuwa na nguvu kiasi gani katika hatima yako na ni kwa kiasi gani amejenga kibanda ubongoni mwako kiasi huwezi tenganisha chochote kinachoendelea fikrani mwako na yeye..u need see a shrinkWamjaribu mama kivip kwa mfano,hayo yote ni ugum wa maisha haya yaliyosababishwa na jiwe mwendazake,wavute subira good days are coming,our prayers to our beautiful mother of the nation
Wamjaribu mama kivip kwa mfano,hayo yote ni ugum wa maisha haya yaliyosababishwa na jiwe mwendazake,wavute subira good days are coming,our prayers to our beautiful mother of the nation
Tumekusikia MsukumaMbaya!Ingekuwa kipindi cha yule dikteta ngosha iyo mizoga ingeenda machinjioni. Na watu tungekula vibudu, kisa ng'ombe wa poti zake,
Samia ni Rais hadi #2045
Chadema ya dikteta Mbowe katili la hai likwepa kodi liongo imekufaIngekuwa kipindi cha yule dikteta ngosha iyo mizoga ingeenda machinjioni. Na watu tungekula vibudu, kisa ng'ombe wa poti zake,
Samia ni Rais hadi #2045
Wale Polisi waroho wa Nyama wako wapi wakazikamate Nyama
Mimi huwa sili nyama za buchani.Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo...
Hiyo machinjio yenyewe ipo kwenye makazi ya watu,hapo vibudu mbona ndiyo nyumbani kwake Mkuu,kuna kipindi nilishaweka uzi humu kuhusu hii machinjio ya Tegeta.Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo....
Wao ndio hawana jema, waliiba minofu pale BuguruniHuna jema🙄🙄
Umelaaniwa wewe.nyie wanaume mmefanya Nini toka 1961 majizi nyie na wauaji?Mama ana aibuuu sanaaaa...kiumbe dhaifuuu