Wao ndio hawana jema, waliiba minofu pale Buguruni
Hivi wewe huwa unafuatilia habari kweli au unapenda tu kubishana kwasababu unalipwa buku saba
Wacha upumbaf wewe sukuma gang,unakuwa kama moto wa kifuu kisa kasemwa babako?Ni hoja ulioamua kujifariji nayo toka jpm afariki..actually maisha yako yote utalaumu kila kitu kwake ambayo naona ni nzuri inaonesha alikuwa na nguvu kiasi gani katika hatima yako na ni kwa kiasi gani amejenga kibanda ubongoni mwako kiasi huwezi tenganisha chochote kinachoendelea fikrani mwako na yeye..u need see a shrink
Wanahangaika sana hao sukuma gangMama anaingiaje hapo we dada Musiba?
Kweli sukuma gang mnahangaika sana na mtahangaika sana na bado.Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo
Habari za awali zilizopatikana katika eneo hilo zinasema kuwa wachinjaji ng'ombe katika machinjio hayo walikuwa katika maandalizi ya kuwachinja na kuiingiza nyama ya mizoga hiyo sokoni.
Si mara ya kwanza kwa mizoga kukamatwa machinjio ya Tegeta. Kuna wkt serikali ilifunga kabisa machinjio hayo baada ya kukuta semi trailer imejaa mizogaPolisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo
Habari za awali zilizopatikana katika eneo hilo zinasema kuwa wachinjaji ng'ombe katika machinjio hayo walikuwa katika maandalizi ya kuwachinja na kuiingiza nyama ya mizoga hiyo sokoni.
Ukoo wako utakufa kwa umasikini kama akili yenyewe ndio hiiWamjaribu mama kivipi kwa mfano, hayo yote ni ugum wa maisha haya yaliyosababishwa na jiwe mwendazake, wavute subira good days are coming, our prayers to our beautiful mother of the nation.
Vipi dikteta Mbowe nasikia Ukimwi unataka kummaliza plus chanjo nasikia anaharisha yuko kitandaniKweli sukuma gang mnahangaika sana na mtahangaika sana na bado.
Yupo kitandani duniani anaenjoy hewa ya oxygen .Vipi dikteta Mbowe nasikia Ukimwi unataka kummaliza plus chanjo nasikia anaharisha yuko kitandani
Corona inatisha kuliko hata ukimwiVipi dikteta Mbowe nasikia Ukimwi unataka kummaliza plus chanjo nasikia anaharisha yuko kitandani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanataka kutulisha vibudu sikukuu ya Eid el fitr?
nasikia anaharisha dikteta la TanzaniaYupo kitandani duniani anaenjoy hewa ya oxygen .
Poleni kwa kupata PIGO la kikatili la corona
Corona haijawahi kukejeliwa kwiiishaaaa mbuyuuuuunasikia anaharisha dikteta la Tanzania
Vipi leo siyo zamu yako kulinda kaburi?nasikia anaharisha dikteta la Tanzania
na likifa lidikteta Mboye na Chadema inapoteaVipi leo siyo zamu yako kulinda kaburi?
Chadema waliishi kwa ulaghai na unyang'anyiCorona haijawahi kukejeliwa kwiiishaaaa mbuyuuuuu
Nasikia ulifukuzwa jeshini kisa kujilaza mitaroni.na likifa lidikteta Mboye na Chadema inapotea
Corona inatishaChadema waliishi kwa ulaghai na unyang'anyi