Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wananchi ndio hao nao wanataka ufafanuzi kama wewe utakavyo?Ufafanuzi tafadhali 🐼
Polisi hawataki kusema ukweli kwamba askari wameingilia mfumo wa malipo ya serikali na kuiba faini zilizokuwa zinalipwa, bali wanasema eti makosa ni ya kinyume cha taratibu kupima spidi.Wanyonge wanaomba majina, mkoa gani na je , mbona huwa hamuwataji?