Mabodaboda ni wahuni wa vijiweni, muda mwingi wapo pamoja vijiweni mwao, hawana elimu na wana njaa kali. Uhuni wao ni tishio kwa nchi, ni rahisi kufanya vitendo vya kihuni kwa haraka muda mfupi wakaleta hasara kubwa. Habari za uwepo wa maandamano siku ya uchaguzi polisi wameona waanze na wahuni hao kuwahubiria amani wasije wakatekwa na maandamano kirahisi wakalipua nchi. Lile kundi limekaa kihasara hasara hawana cha kupoteza inabidi lichungwe sana