Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
inna lillahi wa inna ilahi rajirun 🌹Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
Tangu ajali ya gari iliyotokea Singida na kuua mahabusu na askari wanaozungumziwa ni askari tu huku mahabusu hatujui kama wao bado wanaendelea na tuhuma dhidi yao,! Kumbe gari lilibeba watu na mahabusu.
Alinusurika mmoja,kalazwa hospital na pingu mikononi!Kibinadamu hao mahabusu walionusurika kifo ni wa kuachiliwa tu inatosha
Kwahiyo tuna haki kabisa ya kusherehekea vifo vya maaskari. Acha wafe tuu maana kumfunga Pingu aliyenusurika na kutokusema hatima ya mahabusu waliofariki inaonesha unyama wa hao Askari.Alinusurika mmoja,kalazwa hospital na pingu mikononi!
Huo ubinadamu unategemea kesi. Mahabasu wa kesi ya ujambazi hawezi kuachiliwa. Ila wizi wa kuku, mihogo hizo kawaida tu ubinadamu unaweza kutumikaKibinadamu hao mahabusu walionusurika kifo ni wa kuachiliwa tu inatosha
Waliokufa ni wachache mno watano.Kwahiyo tuna haki kabisa ya kusherehekea vifo vya maaskari. Acha wafe tuu maana kumfunga Pingu aliyenusurika na kutokusema hatima ya mahabusu waliofariki inaonesha unyama wa hao Askari.
hiyo sheria ni ya kikatili ifutiliwe mbali, mgonjwa unamfungaje pingu? Kwanza kanusurika kifo si ndiyo wa kuachiliwa hapohapo? Sheria gani hii ya kinyama namna hii?Alinusurika mmoja,kalazwa hospital na pingu mikononi!
Mgonjwa kufungwa pingu ni kawaida tu. Inaweza kuwa ana kesi kubwa, kwahiyo haaminiki kulazwa bila pingu.Kwahiyo tuna haki kabisa ya kusherehekea vifo vya maaskari. Acha wafe tuu maana kumfunga Pingu aliyenusurika na kutokusema hatima ya mahabusu waliofariki inaonesha unyama wa hao Askari.
kwa hiyo jambazi lililonusurika kifo lilitakiwa lifilie hapohapo? Je kama limejeruhika vibaya sana na hata likipona litakuwa limekuwa kilema unalifunga pingu la nini?Huo ubinadamu unategemea kesi. Mahabasu wa kesi ya ujambazi hawezi kuachiliwa. Ila wizi wa kuku, mihogo hizo kawaida tu ubinadamu unaweza kutumika
Kaka, usimuamini binadamu aliyehai. Na ukilema huo huo, mtu anakuachia manyoya. Kesi itarudi kwa polisi, amekula njama ya kumtorosha mahabusukwa hiyo jambazi lililonusurika kifo lilitakiwa lifilie hapohapo? Je kama limejeruhika vibaya sana na hata likipona litakuwa limekuwa kilema unalifunga pingu la nini?
Sawa tlaahtlaah tumekusikiaMgonjwa kufungwa pingu ni kawaida tu. Inaweza kuwa ana kesi kubwa, kwahiyo haaminiki kulazwa bila pingu.
Hatima ya mahabusu waliofariki, unataka usikie neno gani? Mbona ni akili ya kawaida. Kuna unyama gani hapo sasa
utafungaje pingu mgonjwa yuko nyang'anyang'a mahutiti hata kupona kwake ni majaaliwa ya Mungu? akimbie aende wapi na hali hiyo?Mgonjwa kufungwa pingu ni kawaida tu. Inaweza kuwa ana kesi kubwa, kwahiyo haaminiki kulazwa bila pingu.
Hatima ya mahabusu waliofariki, unataka usikie neno gani? Mbona ni akili ya kawaida. Kuna unyama gani hapo sasa
Nyang'anyang'a au sio. Hapo ni utashi tu wa askari atakayemlinda.utafungaje pingu mgonjwa yuko nyang'anyang'a mahutiti hata kupona kwake ni majaaliwa ya Mungu? akimbie aende wapi na hali hiyo?
WatammaliziaAlinusurika mmoja,kalazwa hospital na pingu mikononi!