Polisi: Waliohusika na shambulio la raia Australia ni Sajid Akram na Naveed Akram. Walichochewa na itikadi za Islamic State

Polisi: Waliohusika na shambulio la raia Australia ni Sajid Akram na Naveed Akram. Walichochewa na itikadi za Islamic State

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Polisi wa Australia wamesema baba na mwana waliotekeleza shambulio la mauaji Bondi Beach, Sydney, walichochewa na itikadi ya Islamic State.

Washukiwa ni Sajid Akram, 50, aliyeuawa baada ya kubadilishana risasi na polisi, na mwanawe Naveed Akram, 24, ambaye yuko hospitalini chini ya ulinzi na anatarajiwa kufunguliwa mashtaka

Maafisa wa kupambana na ugaidi wanaamini wawili hao walipata mafunzo ya kijeshi kusini mwa Ufilipino mwezi uliopita.

Polisi walipata bendera mbili za Islamic State zilizotengenezwa kienyeji ndani ya gari lililosajiliwa kwa Naveed.

Shambulio hilo lililenga Wayahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, na liliua watu 15, likiwa shambulio baya zaidi nchini Australia katika karibu miaka 30.

1765724225203.png
 
Wazungu wajilaumu, waliachia waislamu waingie kwao kwa wingi wanazaliana huko, ndio matunda yake, hawa viumbe wakiwa wachache ni wazuri ila subiri wazaliane na kuongezeka.
Muarabu alikosea sana kubuni hii dini.
 
Kuna jamaa alimvizia kapora hiyo bunduki ila alikua tayari ashaua 10 hapo,
hakummaliza,
angemtwanga za miguu at least za kutosha kabla hajawapigia police.
Yule jamaa alijitolea sana kwakweli asinge mdaka madhara yangeongezeka. naona sasa Wayahudi hii siku yao kwa ulaya itakuwa chungu nimesikia leo BBC wa Yahudi wa UK wanahofu nao ya kuvamiwa.
 















Naona umeisahau na hii. Au kwa sababu huyu hero ni Muislam?
 
Alimkamata live kamnyanganya bunduki yule gaidi kakimbia, ila alishaua wengi tu 10+2.
Angeendelea wangekua wengi zaidi.
 
Wazungu wajilaumu, waliachia waislamu waingie kwao kwa wingi wanazaliana huko, ndio matunda yake, hawa viumbe wakiwa wachache ni wazuri ila subiri wazaliane na kuongezeka.
Muarabu alikosea sana kubuni hii dini.
Wazungu wajilaumu, waliachia waislamu waingie kwao kwa wingi wanazaliana huko, ndio matunda yake, hawa viumbe wakiwa wachache ni wazuri ila subiri wazaliane na kuongezeka.
Muarabu alikosea sana kubuni hii dini.
Unajua huwa nakuona unachuki dhidi ya hawa mazombi sometimes naaza kukuelewa Kwanini
 
Muarabu ana roho ya shetani. Hata Oct 29, tunaambiwa majitu yaliyofanya mauaji ya ajabu, ya kuua mpaka watoto, akina mama na wastaafu, yalikuwa ni majitu yaliyotoka Zanzibar, kwa rangi zao yalionekana ni yale yenye asili ya Arabuni.
 
Wazungu wajilaumu, waliachia waislamu waingie kwao kwa wingi wanazaliana huko, ndio matunda yake, hawa viumbe wakiwa wachache ni wazuri ila subiri wazaliane na kuongezeka.
Muarabu alikosea sana kubuni hii dini.

E.Musk to Christians ...


View: https://x.com/elonmusk/status/2000078735622721927?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E2000078735622721927%7Ctwgr%5E4c9b9553382c66f182a73a701317bf6f9b2ce637%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.zerohedge.com%2Fmarkets%2Fevil-act-anti-semitism-terrorism-12-dead-after-shooting-australian-jewish-event
 
Wazungu wajilaumu, waliachia waislamu waingie kwao kwa wingi wanazaliana huko, ndio matunda yake, hawa viumbe wakiwa wachache ni wazuri ila subiri wazaliane na kuongezeka.
Muarabu alikosea sana kubuni hii dini.
Baba na mtoto wanawezaje kukubaliana kufanya uovu kama huo?

Hizi imani nyingine mtihani sana
 
Nchi nyingine mnawashauri wapige za miguu, nchini kwenu mnashauriana wapige za tumbo, tena wananchi.

WaTz kwa unafiki 🚮
Washauliwa kitambo tu pale kwenye tukio, raia hakutaka kuua police walifika na kufanya kazi yao.
 
Pole kwa waliopoteza maisha.
Pole kwa wafiwa...
Ila Myahudi na wazungu wakiuliwa inakuwa balaa!
Zaidi ya Wapalestina 70,000 wameuliwa Gaza! Hakuna reactions kama ya Bondi!
Lazima tuulize kwani damu ya hawa ikimwagika ni nzito kuliko za DRC, Gaza, nk nk ?!
 
Back
Top Bottom