Polisi: Waliohusika na shambulio la raia Australia ni Sajid Akram na Naveed Akram. Walichochewa na itikadi za Islamic State

Polisi: Waliohusika na shambulio la raia Australia ni Sajid Akram na Naveed Akram. Walichochewa na itikadi za Islamic State
















Naona umeisahau na hii. Au kwa sababu huyu hero ni Muislam?
Hii taarifa wataipita kama hawaioni.
 
Tatizo siyo uislamu, ukristo, uyahudi, Orthodox, Hindu, etc etc, tatizo ni kufundishwa kuchukia watu, ubaguzi, kulazimishwa kuamini ubaya na kuwa dini ya fulani ni bora kuliko ya mwingine, au binadamu fulani wako inferior au superior kuliko wengine!
 
Pole kwa waliopoteza maisha.
Pole kwa wafiwa...
Ila Myahudi na wazungu wakiuliwa inakuwa balaa!
Zaidi ya Wapalestina 70,000 wameuliwa Gaza! Hakuna reactions kama ya Bondi!
Lazima tuulize kwani damu ya hawa ikimwagika ni nzito kuliko za DRC, Gaza, nk nk ?!
Ungeazia Tanzania.
 
Haiondoi ukweli kwamba watu 15 wameuwawa tayari kikatili na gaidi wa msimamo mkali wa dini.
Wapi nilipokataa watu hawajauwawa, wala si support watu kuuwawa iwe muuwaji ni Muslim au Christian or whatever.
Ila kuna baadhi ya members hujitoa mshipa wa fahamu kwa makusudi kwamba kila jambo baya ni Muslims. Ila kama Muslims hao hao wamefanya mazuri huwa hawaliongelei.
Ni primitive members na tunawajua wana chuki za ndani ya roho kwa Muslims.
 
Ewe Mkenya mjinga, ungeeleza kwamba aliyempokonya silaha ni muislam. Wacha ku base upande mmoja.

Huyo aliyempokonya silaha alisaliti uislamu, nyie watu mliingizwa mkenge na huyo muarabu, hakupaswa kuanzisha dini yake yenye haya mauaji, Muhammad mwenyewe alisababisha mauaji kwa Wayahudi na kuuza watoto wao utumwani, sawa hata kama alikua na bifu na Wayahudi, ila palikua na ulazima gani kuuza watoto wao utumwani.

Hapa nilikua napitia mauaji yote yaliyoagizwa na Mohammad, jameni huyo mzee alikua gaidi haswa https://wikiislam.net/wiki/List_of_Killings_Ordered_or_Supported_by_Muhammad

Jamaa alikua mchafu sana sijui huwa mnamuabudu kivipi

Stoned women for adultery.
(Muslim 4206)

"I have been commanded to fight
against people till they testify that there
is no god but Allah, and that Muhammad
is the messenger of Allah"
(Muslim 1:33)

Permitted stealing from unbelievers.
(Bukhari 44:668, Ibn Ishaq 764)

Permitted lying.
(Sahih Muslim 6303, Bukhari 49:857)

Owned and traded slaves.
(Sahih Muslim 3901)

Beheaded 800 Jewish men and boys.
(Abu Dawud 4390)

Murdered those who insulted him.
(Bukhari 56:369, 4:241)

"If then anyone transgresses
the prohibition against you,
Transgress ye likewise against him"
(Quran 2:194)

Jihad in the way of Allah elevates one's position in Paradise by a hundred fold.
(Muslim 4645)

Married 13 wives and kept sex slaves.
(Bukhari 5:268, Quran 33:50)

Slept with a 9-year-old child.
(Sahih Muslim 3309, Bukhari 58:236)

Ordered the murder of women.
(Ibn Ishaq 819, 995)

"O you who believe! Fight those of the
unbelievers who are near to you
and let them find in you hardness."
(Quran 9:123)

Ordered 65 military campaigns
and raids in his last 10 years.
(Ibn Ishaq )

Killed captives taken in battle.
(Ibn Ishaq 451)

Encouraged his men to rape enslaved women.
(Abu Dawood 2150, Quran 4:24)

Demanded captured slaves and
a fifth of all other loot taken in war.
(Quran 8:41)

Was never tortured, but tortured others.
(Muslim 4131, Ibn Ishaq 436, 595, 734, 764)

"And fight them until there is no more persecution and religion is only for Allah"
(Quran 8:39)

Blessed the brutal murder of a half-blind man
(al-Tabari 1440)

Ordered a slave to build the very pulpit
from which he preached Islam.
(Bukhari 47:743)

What are the Greatest Commandments?
"Belief in Allah and Jihad in His cause"
(Muslim 1:149)

Demanded the protection of armed bodyguards, even in a house of worship
(Quran 4:102)

Died fat and wealthy from what was
taken from others in war or
demanded from others in tribute.

Advocated crucifying others.
(Quran 5:33, Muslim 16:4131)

According to his followers:
Had others give their lives for him.
(Sahih Muslim 4413)
 
Yule jamaa alijitolea sana kwakweli asinge mdaka madhara yangeongezeka. naona sasa Wayahudi hii siku yao kwa ulaya itakuwa chungu nimesikia leo BBC wa Yahudi wa UK wanahofu nao ya kuvamiwa.
Nasikia wanachi wamemchangia dola milion 1 alafu kumbe ni muuza matunda tu.

Ujasiri wake utafanya awe tajiri
 
walichochewa na itikadi ya Islamic State.
Polisi wangeongezea kwamba yule Ahmed Al Ahmed alieenda kuwapambania watu wasiuawe wengi kiasi cha kuhatarisha Uhai wa Maisha yake alikua ameenda akiwa na hali ya utetezi wa haki ya Uhai km wanavyofanya TEC.. kiazi mviringo THE BIG SHOW
 
Back
Top Bottom