Polisi wamkamata GB 64 akidaiwa kuhamasisha Watu kufanya vurugu mechi ya Yanga Vs Simba

Sio sifa kuzaliwa chokoraa ndugu
 
Kamanda anavyoongea ni ishara kuwa bado tunatumia mbavu kwa jeshi letu
Kutoa macho n mishipa sio kigezo cha kuonyesha ukakamavu.

Bado tuko nyuma sana aisee.
 
Wacha wakamatane wakati mashabiki wa kweli tukipiga kelele timu mbovu wao waliwapa uongozi sifa na wakabweteka.

Wacha kiwakute kitu.
 
Wamemuonea. GB anahojiwa kila siku hajawahi kusema neno hata moja la kumkashfu, kumtukana au kumtisha mtu, wamesubiri ameteleza ulimi kwa kasentesi kamoja na ambako baada ya hapo alikatolea ufafanuzi, ndiyo wamepata upenyo wa kumuweka ndani.

Simba ina viongozi wapuuzi sana.
 
Nakuja na lundo la

Jeshi la polisi naomba mje kunikamata nipo maeneo ya magomeni naelekea uwanjani.
Nimebeba bakora za kuwatandika viongozi wa Simba.
 
Safi sana Kamanda Muliro Jumanne Muliro, wachochezi wote washughulikiwe hasa mashabiki wa Simba, kuna maisha baada ya mpira.
Yule kihiyo wa uvccm he manage to get away with murder nhe,police kwangu wengi wao ni makada wa kisiasa na wanafanya majukumu yao kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…