Polisi wampe ulinzi mke wa Dr. Mwaka. Sakata la ndoa yao lina vita ya kiuchumi ambayo inaweza kupelekea mauaji

Sema huyu anko nae mbishi sana yani mtoto wa mjini haswa,sema style yake ya maisha na yenyewe itamghalimu huko badae maana kutengeneza visasi na watu na familia zao huezi jua revenge yao itakuja vipi.
 
Huyo mama anaonewa na hii ni aibu Bakwata kushindwa kulifanyia maamuzi kwa miongozo yao ili kila mtu awe huru.

Kuna watu wanautumia Uislamu vibaya na kuupaka matope. Huyo mama amefikia radhi kuachia mali zote lakini Dr Mwaka asipoonywa atamsumbua!

Kuna wanadamu wanahitaji fimbo ili kujirudi! Dr Mwaka anahitaji viboko vya kumfunza adabu kuwa fedha na connections si kila kitu. Anakoelekea muumba wake atashughulika nae ili afahamu ni binadamu na ana ukomo.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mfumo wa hovyo sana itakuwa umenyima haki wengi
 
Hivyo uwezekano wa mwaka kufanya ukatili ili kuifumba jamii ni mkubwa mno endapo shauri lao kama halitasikilizwa mapema! Na itangazwe wazi![emoji3064][emoji848]
Akijaribu kufanya hivyo kajimaliza... Yeyote atakayedhurika kwasasa iwe Queen au Sheikh wa Dar mtuhumiwa wa kwanza atakuwa Dr. Mwaka
 
Mganga Mwaka bwana, hii si ungeipeleka kule Jukwaa la Matangazo?
Naona umetuwekea na bei zako kabisa
 
Na ubaya ukafanyika Kwa mauzauza
 
Kama zipi kwa mfano! Mgao wa Mali unazungumziwa mahakamani baada ya talaka sasa unaposema anataka kuondoka unamaanisha kaondokaje wakati shauri lake linapigwa danadana?
Waislam masuala Mawili hawatumii mahakama.
1. MIRATHI
2. NDOA.

Sheria zao ziko clear kwa namna ya kufanya. Ni kosa kubwa kwa waislam kutumia Mahakama za kawaida katika kutatua migogoro ya NDOA au MIRATHI.
 
Women's a good at playing a victim so dont judge cause she cried and give all those stories....stay woke
 
Huyo mwanamke agawiwe na hiyo mikopo ya bank ili aendelee kulipa kwa mali atakazopewa.

Hayo madeni walichuma wote
Madeni yataangaliwa yalikopwa lini kwa ajili ya kununua nini!
Kama yamrkopwa Jana kwrnda kula bata na wake wengine na Mali zilizopo zimenunuliwa juzi
Madeni hayawezi kuhusishwa
 
Vijana wangu,mashauri ya ndoa hayatatuliwi kwa ushabiki au mihemko.Hayawezi kutatuliwa kwa haraka kama mpendavyo.Hawa wote wawili wanaonekana ni mabingwa wa sarakasi kiasi kwamba wamewapofusha hata watazamaji wao wasione tatizo lao halisi. Kumbukeni mahali sakata hili lilikoanzia mtajua linakolekea,msichotwe na vilio vya queen wala drama za mwaka na sheik wake.Fumbueni macho mtazame vizuri hizi ni mind play kama za kwenye siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…