Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waTz hamjui sheria, na hilo ndio tatizo. Na serikali imezificha kwenye makaratasi badala hata waanzishe kipindi cha mahakama live kama kipindi cha judge Judy channel e, ili watu wa kesi flani ambazo ni za kutoa knowledge kwa wananchi waelewe sheria inasemaje waone live kila kitu, ushahidi, maelezo hadi hukumu.Huyu binti nimetafakari alipoanzia nikaona ilikuwa hivi:
1. Aliwaza peke yake "Ngoja nitume mchango kwa ajili ya maafa ya mporomoko wa Ghorofa Kariakoo.
2. Akamshirikisha mwenzi, " Nataka nitume hela kuchangia wenzetu waliobanwa kwenye vifusi Kariakoo. "
3. Mwezie akamuumga mkono.
4. Mwezie naye akamtaarifu jirani yake " jamani tunakusanya hela tuzitume Dar kwa walio athirika na maporomoko ya Ghorofa.
5. Wachangiaji wakaongezeka tena na tena na tena.
6. Awali alikuwa mmoja kwa nia njema baada ya muda wakawa wengi kwa nia njema kabisa.
7. Tatizo ni RUKSA HAWAKUPATA.
8. Bila shaka hela zote walizokwisha zichangisha wanazo wakizitoa zote bila kubakiza senti moja mmuachie hakuwa na nia mbaya.
9. Wakimtia ndani wakamfungulia mashitaka huyu binti watakuwa wamekosea kabisa moyo wa kujitolea utakuwa umefifishwa kwa amri ya serikali.
10. Binti kama alikusudia kuiba angefanya kimya kimya, kakini alijiweka wazi. " Tulipoona anachangisha bila kibali tusione yeye ni Mwizi" Binti asamehewe baada yabkuonywa hakuwa nania mbaya kwa mtazamo wangu.
Mkuu, Usiogope Uwe na amani - hakina madhara na wala sio kilipukizi.Hicho kidude hapo shingoni ni kitu gani?
Huyo wakili watamfyata mkia kwa kumwambia hayo ni maagizo na amri kutoka juu kwa mheshimiwa waziri.Hivi kuchangisha hela nchi hii ni kosa? Mbona akipata wakili mzuri anaweza kuwabwaga mahakamani.
Bubu....tulia mwizi ni mwizi tu........kwanini akuja Dar kwenye sehemu ya maafa?Huyu binti nimetafakari alipoanzia nikaona ilikuwa hivi:
1. Aliwaza peke yake "Ngoja nitume mchango kwa ajili ya maafa ya mporomoko wa Ghorofa Kariakoo.
2. Akamshirikisha mwenzi, " Nataka nitume hela kuchangia wenzetu waliobanwa kwenye vifusi Kariakoo. "
3. Mwezie akamuumga mkono.
4. Mwezie naye akamtaarifu jirani yake " jamani tunakusanya hela tuzitume Dar kwa walio athirika na maporomoko ya Ghorofa.
5. Wachangiaji wakaongezeka tena na tena na tena.
6. Awali alikuwa mmoja kwa nia njema baada ya muda wakawa wengi kwa nia njema kabisa.
7. Tatizo ni RUKSA HAWAKUPATA.
8. Bila shaka hela zote walizokwisha zichangisha wanazo wakizitoa zote bila kubakiza senti moja mmuachie hakuwa na nia mbaya.
9. Wakimtia ndani wakamfungulia mashitaka huyu binti watakuwa wamekosea kabisa moyo wa kujitolea utakuwa umefifishwa kwa amri ya serikali.
10. Binti kama alikusudia kuiba angefanya kimya kimya, kakini alijiweka wazi. " Tulipoona anachangisha bila kibali tusione yeye ni Mwizi" Binti asamehewe baada yabkuonywa hakuwa nania mbaya kwa mtazamo wangu.
Sawa sidhani kama nina cha kuendelea kuchangiaNaona umefurahiiii sana. Halafu mfano wa eminem unafit wapi hapa, huoni kwenye link uliyotuma serikali yenye akili imesema iliachana na upelelezi juu ya suala hilo. Ama English ni tatizo babu? Bado nakusihi Leta mfano wa kisa kimoja toka nchi za wenzetu ili tujifunze.
Afuate sheria,Niffa ana nia nzuri ila kuna wengine wangetumia mwanya huo huo kutapeli.Serikali ina nia nzuri ,afungue Foundation au apate kibali kama ilivyo sheria.Niffa hata mimi nampenda sana shida nyingine ya Niffa alijibu baada ya waziri mkuu kutoa tamko yeye angenyamaza kimya na watu wangemshauri vizuri yeye akaanza kubishana na mamlaka .Tusitoe visingizio vya kuwa NIFFA ana maadui wengiHii ni Kiki kwa utawala wamechemka sana.. Tabu hawajui wanaharibu sana kwa wananchi.
Na aliyeshupalia anafurahia sana na gesi. Huku yeye wa Maziwa ya mtoto tangu akue.
Upande wa Niffer ni jambo zuri, litapita hili.
Kuchanga na kuchangisha hela yote ni makosa ni km rushwa kutoa na kupokea.Unachangisha hela kwenye account yako ya biashara?
Wwe ndiyo wa hovyo hadi nakuonea huruma, mmesha aambiwa mara nyingi sana kutokujua sheria siyo kinga ya kutokuchukuliwa hatua za kisheria!!Tuna waziri mkuu wa hovyo sana
Kwahiyo kila anayefanya kosa anatakiwa awe anaelimishwa tu kisha anaachiwa?Kujifunza nini!!! Kosa limefanyika wange muelimisha wamuachie.
Hakuna sheria inayotukataza kuchangiana wakati wa shida, CCM itueleze zile pesa za tetemeko Kagera na za vifo vya wanafunzi wa Arusha ziko wapi! Mrisho Gambo alisema pesa za Arusha zitajenga hospitali, mpaka sasa hatuioni.Mpuuzi kabisa. Huwezi kufanyia insubordination serekali. Kwamba yenyewe haiwezi kuchanbia au kujipanga lazima uombe kibali
Dah!!?? Sasa inakuwaje? Wa Tz tumezoea kitambo sana kuchangishana au kuchangia linapotokea jambo la Maafa/Janga, Sherehe/Furaha n.k. kwa mwana-Jamii mwenzetu jirani ili kuonesha "Tuko pamoja".Kuchanga na kuchangisha hela yote ni makosa ni km rushwa kutoa na kupokea.
Serikali inachangisha pesa nalo ni kosa coz lipo fungu kwa ajili ya majanga na maafa!
Ajali ilisababishwa na nani? Mwenye nyumba, mhandisi, mkandarasi au mtaalamu mshauri?Mwenye jengo kesha kamatwa.......wewe unamtetea mwizi..... 😀
Natumai atajifunza pia kihelehel sana uyoHaitofika huko lakini atapata mamwili matatu ya kujifunza
Wa ukoo wenu?Huyu Binti anafaa kugomea Urais!
Maji ya mil40 kweli?Kosa lake ni nini, kwamba alikusanya hela na kuzila, au aliwasaidia/kwa lengo la kuwasaidia majeruhi na wafiwa?