Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Hata wema alikuwa na kiburi sana kipindi hicho cha rizi1 ss hivi, kaufyata kimya , sponsor kaamisha magoli.

The same tu niffer, mwambieni aache zereu na serikali, uchi wake sio kinga kwenye mihimili ya serikali na Sheria.

Na ss viongozi wa serikali TU ache kutunza malaya , tuepukane na aibu ndogondogo kama hizi
 
Yaani Niffer anaonekana ana kosa zaidi ya mwenye ghorofa lililoanguka kwa uzembe....hovyo kabisa
 
Hii ni Kiki kwa utawala wamechemka sana.. Tabu hawajui wanaharibu sana kwa wananchi.

Na aliyeshupalia anafurahia sana na gesi. Huku yeye wa Maziwa ya mtoto tangu akue.

Upande wa Niffer ni jambo zuri, litapita hili.
Ni jambo la aibu kuona ID ya zamani meaning ni mtu mzima halafu akili imejaa tope, unakua chawa wa binti mdogo mpaka kwenye ujinga.....

Sio kila mtu anamuonea wivu huyo binti,
Infact kwa watu wenye akili timamu tunamuonea huruma, maana ni mgonjwa wa akili tu.....

Hakuna mtu timamu anachukua picha online kutafuta sympathy...
Mara ahame dini kama dozi ya malaria....
Mara adanganye vipodozi location anayonunua...
Mara apondee biashara za watu then later aje afanye...
Then ukuaji wake wa biashara na maisha binafsi havina uhalisia, hata TRA sio mlipa kodi wa level hizo..
Mtu timamu hawezi fanya hayo na mengine mengi..

Kafanya kosa acha awajibishwe iwe funzo kwake na sisi wengine...

Akitoka hapo atapunguza kiherehere.... maana hana maisha nje ya mtandao

Wewe kama jitu zima jitahidi upate akili kidogo uwe unamshauri vizuri role model wako.
 
WaTz hata hamuelewi, nimesoma comment za baadhi ya watu humu mitandaoni taani waTz hebu tuache upuuzi[emoji34]

eti wengine mnahoji eti mbona harusi sjui msiba au sherehe tunachanga? iweje hili wakataze?

ngoja niongelee hili la kawaida nisiende serikali issues.

1- hivi kuna michango unayoletewa bila mpangilio au kibali? sizungumzii kibali cha serikali. Kama ni mchango wa harusi, kikao cha kamati hukaa na kuandaa utaratibu michango ikusanywe kwa namna gani. Atachaguliwa mtu , iwe mwenyekiti au katibu kwa ajili.ya kupokea na kuhakiki michango, after that wakae tena kama kikao kuletewa taarifa ya michango iliokusanywa, majina ya waliochangia, kilichopelea nk, then wanapanga maandalizi yote from the exactly total amount iliopatikana. Sjui.sasacwatachagua ukumbi, mziki, chakula, vinyaj nk, BUT KILA KITU KILIENDA KWA RECORD.

Haya huto binti, alikua na account gani? ambayo inahakikiwa na nani? nani atahakikisha imepatikana kiasi gani? kifanyiwe nini? au kiwasilishwe wapi? - just auditing?

before litiliwe mashaka jambo lake hadi PM alipoongelea na yeye kujifanya sasa kwenda vodacom na tigo wamprintie transaction list caa ameshaona janga, bila kubumburuka angetoa hio list? kwa nani? je angeonesha whole list na amount received na imetumikaje?

mf tu. Ana followers 1.7M, kila followet akachanga Tsh 100 tu, angekua na smount.kubwa sana. Je nani angehakiki hiko alichokikusanya kupitia janga ambalo limeumiza watu zaidi ya yeye kutumia kama fursa ya kujipatia kinyume na sheria kwa kiwaibia watu kwa kusema ni msaada?

hivi serikali ikisema iruhusu huu utaratibu wa kijinga wa watu kuchangisha kwenye majanga mskubwa ya kitaifa itakuaje? si itakua vurugu nchini? watu wana followers wangapi huko insta? si kila mtu angechangisha? tuache utoto na upumbavu[emoji34] , harusi sjui msiba changa cas kuna kamati zinazosimamia mtajuana wenyewe as a community or family ot friends. BUT LINALOHUSU NCHI IACHIENI SERIKALI IDEAL NALO, THATS WHY KUNA SERIKALI. WAKITAKA KUWACHANGISHA WATATOA UTARATIBU na sio huu upuuzi wa huyu binti. Nikisena TAPELI takua nimekosea?
 
Umenisemea broo
Ni wivu wa serikalikuona wao hawachangiwi kiasi hicho labda taasisi ndo zinawachangiwa
Mimi binafsi siwezi tuma mchango ktk akaunti ya maafa ya serikali maana nna hakika watazila tu na wahusika watapewa kidogo Kama Kagera
 
Kama amehama dini tegemea FaizaFoxy kuingilia kati
 
Kama amekamatwa kwani asitajwe jina kama hawa waliokuwa na nia nzuri wametajwa majina. Ndio amekosa na hasa kujibu yeye angekaa kimyaa tu.
Wenye nia nzuri wapo Kariakoo kwenye tukio...............sasa huyo mwenzako yupo Dodoma anachangisha pesa...kwa maafa ya Kariakoo Dar es salaam.....huo ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…