Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Si ndio hapo. Maafa yana utaratibu zake. ,huwezi kuamka huko ukaanza kukusanya hela za maafa bila kuwasiliana na kamati za maafa husika. Mtu unatoa account binafsi kuchangisha hela?
Natumaini atajifunza kwa hili.
Inashangaza sana hasa watu wanaodai eti anaonewa wivu. Watu washazoea kufanya mambo kiholela holela. Halafu sasa imagine alivotangza kuwa kakusanya 30m kwa muda mfupi, itakula kwake pakubwa kama alitamka kwa kutafuta sifa. Na toka mwanzo angeomba radhi pengine yasingefikia hapa.
 
Kazi kwelikweli. Angefuata utaratibu wala hakuna mtu angekuwa na shida naye. Maafa si msiba , harusi au ugonjwa mtu yeyote anaweza kukusanya hela.
 
Inashangaza sana hasa watu wanaodai eti anaonewa wivu. Watu washazoea kufanya mambo kiholela holela. Halafu sasa imagine alivotangza kuwa kakusanya 30m kwa muda mfupi, itakula kwake pakubwa kama alitamka kwa kutafuta sifa. Na toka mwanzo angeomba radhi pengine yasingefikia hapa.
Yeah. Unyenyekevu (Kujishusha) mbele ya Serikali ingeweza kumpunguzia Makali ya Hoja inayomkabili huyo binti wa watu. Asivutane kamba na Serikali. Hajaonewa hata kidogo ila katenda kosa na Mamlaka imemjulisha kosa lake. Alichopaswa kufanya ni kuomba radhi na kukabidhi kiasi chote alichokusanya kwa wanaohusika bila ya kuhoji kitapelekwa wapi au kitatumikaje alimradi tu yy aondokane na kadhia hiyo.
 
Kwani yeye imelala na haisimami.anasimamisha
Yeye in person Yupo "Fit" lakini kwa Heshima yake na kwa Hekima na Busara yake sidhani kama anaweza kudiriki kufanya hilo ulilosema. Ukumbuke na kuzingatia kwamba hapo alikuwa anazungumza na kutenda kama Serikali na sio kama mwanaume aitwaye Majaliwa. Tofautisha kati ya mtu binafsi na mtu anayeiwakilisha Serikali.
 
Huyu dada inaonekana kama ana maadui wengi sasa sijui ni fitna au wivu tu juu yake au ni nini?
Maana nimesikia leo kioind wasafi radio akina zembwela na kitenge wanamkalia kooni haswa mpaka nikajiuliza ,shida ni hii hii michango au labda kuna mengine?
Binafsi huyu dada sikuwa namjua ila ni wazi inaonyesha ana madui sana.
 
Yeye in person Yupo "Fit" lakini kwa Heshima yake na kwa Hekima na Busara yake sidhani kama anaweza kudiriki kufanya hilo ulilosema. Ukumbuke na kuzingatia kwamba hapo alikuwa anazungumza na kutenda kama Serikali na sio kama mwanaume aitwaye Majaliwa. Tofautisha kati ya mtu binafsi na mtu anayeiwakilisha Serikali.
Serikali ni pamoja na mimi.yule ni waziri mkuu ila hana tofauti na mimi au naye ni janabi.anakula kipande cha embe asubuhi mchana kipande cha epo au peasi jioni kipande cha papai.lahasha majaliwa ni kama mimi msukuma asubuhi chapati tano chai semosi mchana ugali nusu kilo na mlenda na jioni wali nusu kilo na maharage.hivyo hashindwi kumpelekea moto huyo mrembo ila janabi atafia kifuani lwa huyo mrembo sababu ya ulaji mbovu wa chakula na afya hafifu.mama muuza niongezee libeneke la jero tena pima kwenye lile kopo la chooni lisilo na mshikio
 
Back
Top Bottom