Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Wivu WATANZANIA tunachuki sana, ata kama kafanya makosa ilitakiwa apewe elimu jinsi na sio kushambuliwa Serikali ilivyoona anachangisha wao wange zilinda pesa kwa kuzizuia zisitoke yani zingekua zinaingia tu.
Hajafanya kosa lolote , Waziri Mkuu kakurupuka
Nimekuambatishia sheria ya maafa soma unieleze amevunja kifungu kipi
 
Attachments

Ni jambo la aibu kuona ID ya zamani meaning ni mtu mzima halafu akili imejaa tope, unakua chawa wa binti mdogo mpaka kwenye ujinga.....

Sio kila mtu anamuonea wivu huyo binti,
Infact kwa watu wenye akili timamu tunamuonea huruma, maana ni mgonjwa wa akili tu.....

Hakuna mtu timamu anachukua picha online kutafuta sympathy...
Mara ahame dini kama dozi ya malaria....
Mara adanganye vipodozi location anayonunua...
Mara apondee biashara za watu then later aje afanye...
Then ukuaji wake wa biashara na maisha binafsi havina uhalisia, hata TRA sio mlipa kodi wa level hizo..
Mtu timamu hawezi fanya hayo na mengine mengi..

Kafanya kosa acha awajibishwe iwe funzo kwake na sisi wengine...

Akitoka hapo atapunguza kiherehere.... maana hana maisha nje ya mtandao

Wewe kama jitu zima jitahidi upate akili kidogo uwe unamshauri vizuri role model wako.

Mkuu sheria ya maafa nimekuambatishia naomba isome halafu niambie amekosea kwa kuvunja kifungu gani.
 
Attachments

Kwaiyo kila mtu ajiamuliee achangishe tu hahaha atari hii niffer awe mpole ni kosa labda suala linalomuhusu yeye au familia yake ndo achangishe mengineyo ya kitaifa lazima muongozo

Hajafanya kosa lolote sheria inaruhusu watu wachangushe na fedha waziwasilishe kwenye kamati ya maafa .
Kuchangisha fedha sio kosa . Kosa ni kutokuzifikisha hizo fedha kwenye kamati ya maafa
 
Attachments

Halafu huu ungese wa kuvunja sheria na kutaka huruma kisa jinsia ya kike inabidi ifike mwisho. Nimeona watu wengi wenye kauli za kipumbavu kwamba "kwanini unabishana na mtoto wa kike?".... nendeni central mkamtoe. Sheria haina jinsia

Amevunja sheria gani ? Na kifungu kipi?
Nakuambatishia sheria ya maafa .
Uisome uielewe huto binti hajakosea kokote kwenye hii sheria.
Kama amekosea nitajie hicho kifungu cha sheria aliyokosea
 
Attachments

Anaitwa binti, kwani hajaolewa na hana mtoto? Nifter kajipatia umaarufu zaidi kupitia janga. Wanamkamata kwani kuna kosa kukusanya michango kwa ajili ya wahanga wa janga hilo. Sasa kama serikali ilichelewa kufanya hivyo why wasamaria wema wasifanye hivyo? Itungwe sheria ya msamaria mwema
Hata Mama yako ni binti elewa neno binti
 
Amevunja sheria gani ? Na kifungu kipi?
Nakuambatishia sheria ya maafa .
Uisome uielewe huto binti hajakosea kokote kwenye hii sheria.
Kama amekosea nitajie hicho kifungu cha sheria aliyokosea
Kwamba mtu yoyote anaweza kukurupuka na kuanza kichangisha sio kuna utaratibu bana, pia nifa amekrush waziri kakosa nidhamu mkubwa akisema umekosea ata kama unaona upo sahihi usimcrush ,badala ya kuongea utumbo wote ule angeomba msamaha bila kucrush wala kutoa maelezo kwamba yupo sahihi ingeleta maana kubwa, ata michango ya kikundi huwa inataratibu zake sembuse hii senstive
 
Na ndivyo sheria inataka hivyo , na wala haielezi kwamba lazima uombe kibali cha kukusanya .
Sheria inasema mtu yeyote akikusanya michango lazima aiwasilishe kwenye kamati.
Hakuna michango inayoingia ktk acc binafsi zinakuwa acc maalum uje utuambie umetekwa ela zikatolewa, alafu niffa alikuwa anasema pesa zitaenda kwa wanafamilia sijui kununua maziwa maji hahaha lazima apige fungu. Maji lita atanunua kwa 2500 ,soda 3k moja, angekuwa na nia ya dhati ile acc ya maafa ya gavoo ndo angeipost
 
Mimi hata sijaona ubaya wa kuchangisha pesa mara mia pesa yangu ipitie kwa niffer maana nitakua na uhakika itawafikia wahanga kuliko kwa hao mafisadi wa ccm
Bro! Tatizo ni sheria! Sheria inamkataza. Soma hapo namba 2. Ndiyo maana anaulizwa ikitaka kufanyiwa ukaguzi na mkaguzi mkuu wa CAG watakuwa na uhakika gani kama pesa alizozitoa ndiyo pesa halisi aliyokusanya?

kingine hiyo pesa hakuipeleka kwenye mfuko wa maafa bali yeye kama yeye alichangisha na kutaka kupeleka huduma.

Anaweza akapewa kesi hata ya utakatishaji hela na haina dhamana hiyo!

Na kilochomponza kingine ni kauli yake ya kumjibu hivyo waziri Mkuu. Wanajisahau hawa wanawake baadhi wakianza kupata majina na kukutana na baadhi ya viongozi au kutoka nao kimapenzi hivyo wanakuwa wanajiamini sana pasipo kutumia akili!
Screenshot_20241118_212846_Samsung Internet.jpg
 
Hakuna michango inayoingia ktk acc binafsi zinakuwa acc maalum uje utuambie umetekwa ela zikatolewa, alafu niffa alikuwa anasema pesa zitaenda kwa wanafamilia sijui kununua maziwa maji hahaha lazima apige fungu. Maji lita atanunua kwa 2500 ,soda 3k moja, angekuwa na nia ya dhati ile acc ya maafa ya gavoo ndo angeipost

Ngoja nikusaidie ndugu, pale wizara ya fedha kuna kitengo kinaitwa Financial Intelligence Unit.
Hawa jamaa wanauwezo wa kukagua akaunti yeyote hata ya mobile.money.
Hawa wana access ya kujua miamala yote ya fedha kwenye akaunti ya benki au simu.
Sasa Majaliwa asingeropoka ule utumbo alioropoka .
Angewapa hawa kazi wafuatilie hiyo michango kimya kimya .
Nakwambia huyo binti angepandishwa kizimbani na ushahidi beyond reasonaable doubt wa kukiuka sheria ya maafa manake inaonekana alikuwa hajui fedha za maafa zikikusanywa zinatakiwa ziwasilishwe kwenye kamati ya maafa.
 
Kusema PM karopoka ni utovu wa nidhamu.
 
Bro! Tatizo ni sheria! Sheria inamkataza. Soma hapo namba 2. Ndiyo maana anaulizwa ikitaka kufanyiwa ukaguzi na mkaguzi mkuu wa CAG watakuwa na uhakika gani kama pesa alizozitoa ndiyo pesa halisi aliyokusanya?

kingine hiyo pesa hakuipeleka kwenye mfuko wa maafa bali yeye kama yeye alichangisha na kutaka kupeleka huduma.

Anaweza akapewa kesi hata ya utakatishaji hela na haina dhamana hiyo!

Na kilochomponza kingine ni kauli yake ya kumjibu hivyo waziri Mkuu. Wanajisahau hawa wanawake baadhi wakianza kupata majina na kukutana na baadhi ya viongozi au kutoka nao kimapenzi hivyo wanakuwa wanajiamini sana pasipo kutumia akili!
View attachment 3156476

Mkuu umesoma na kuelewa hiyo namba 2 inaeleza nini?
Hicho kifungu kinaeleza kwamba mtu akikusanya fedha za maafa ni lazima.aziwasilishe zote kwenye kamati ya maafa.
Wangetakiwa wasubiri huyo binti achangishe fedha na akishamaliza waone atazifanyeje. Kama zisingewasilishwa kwenye kamati ndio angekamatwa kwa kuvunja sheria.
Kuhusu kujua kiasi cha fedha alichokusanya na kilichowasilishwa kwenye kamati ya maafa kama ni sawa hiyo ni kazi ndogo sana kwa Financial Intelligency Unit ambao wapo wizara ya fedha .
Hii ishu Majliwa amekurupuka ingewezekana wangemtumia huyu binti positively angeweza kuwakusanyia hela nyingi sana kusaidia wahanga wa hilo janga la ghorofa
Ingewezekana Majaliwa badala ya kumtangaza vile negatively kama mtuhumiwa .
Angeagiza watu wake wa kitengo cha maafa wamuaproach positively wamuambie tumekuona mitandaoni umejitolea kukusanya fedha kwa ajili ya maafa ya kuanguka ghorofa kariakoo wangemshukuru kwa kuwasaidia kazi na wangempa maelekezo yafuatayo:-
1. Fedha za maafa zikikusanywa na mtu binafsi zinatakiwa ziwasilishww kwenye kamati ya maafa kwa mujibu wa sheria.
2. Wangemweleza pia michango anayokusanya inafatiliwa na serikali kupitia financial intelligence unit asijaribu . kuchakachua .
3. Wangempa support na promotion wangeweza kutangazia umma kwamba wanafahamu huyo binti anaendesha harambee ya kukusanya fedha za wahanga kwa niaba ya kamati.
(sheria inaruhusu kamati ya maafa kuomba msaada wa huduma mbalimbali)
4. Wangempa cheti cha pongezi na kutambua kazi aliyoifanya pamoja na kutangazia umma kiasi alichokusanya na kukiwasilisha kwenye kamati ya maafa

Hili suala lingechukuliwa hivi kwa mtazamo wangu huyo binti angeweza kuwakusanyia hao kamati ya maafa fedha nyingi sana.
Ila.lilivyochukuliwa limeleta picha ya hovyo ikiwemo kumuaibisha waziri mkuu mwenyewe pamoja na huyo binti .
Nampongeza huyo binti kwani anaonyesha anaujasiri pia anakubalika na watu wa kawaida.
Manake naamini Majaliwa michango aliohamasisha ya hili janga la kariakoo zitachangia taasisi tu za umma au binafsi tena zitafanya hivyo kwa kujipendekeza .
Huto binti waliomchangia ni kwa moyo wa dhati wa kujitolea kwa jinsi wanavyomwelewa na kumuamini na sio kujipendekeza.
Tutambue pia kushawishi watu wakuchangie fedha ni kazi ngumu sana na ukitaka kujua hayo angalia haya ma taasis ya charity yanapotaka kuajiri mtu anayeitwa fundriser hapa inahitajika zaidi soft skills ambazo serikalini hakuna serikali inajua hard skils tu kama za kukusanya kodi sijui kuuunda tasks force .kukamata mali, kufunga akaunti za watu, kutisha kufilisi,kupeleka mahakamani
 
Kusema PM karopoka ni utovu wa nidhamu.
Hito ni kwako wewe na nidhamu yako ua uoga .
Kwangu mimi kusema ukweli sio utovu wa nidhamu
Sasa ukweli kwenye issue ya huyo binti na michango yake huyo.majaliwa karopoka na kakurupuka .
Huto binti hajafanya kosa lolote kwa mujibu wa sheria za nchi hii
 
Serekali❌️ serikali✅️
Fanyia kazi tafsiri yako ya "insubordination" pia. Hakuna kifungu chochote kinachoainisha kuwa mtu kuchangisha pesa kwa umma ni kosa kisheria, kinachofuata baada ya kuchangisha ndicho kinachoweza kuwa kosa.

Nje kuna convoy yenye thamani ya mamilioni ya pesa za umma na "watu" wanaohutubia taifa wakati ndani watu wanaangamia huku vifaa pamoja na mbinu za maokozi hazina ufanisi, na bado wewe uliemuona mpuuzi ni aliejitolea kuchangisha pesa kwaajili ya msaada, kweli kaka?
 
Back
Top Bottom