Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Kajipatia mileage ya kutosha akiitumia vizuri na naamini atafanya hvyo kwa kua ndio eneo lake la kujidai basi atapiga hela za kutosha.
Niffer collection
Niffer lingerie
Niffer perfume
Niffer restaurant
Niffer smartphone
Niffer agro machinery
Niffer dairy milk
Niffer automotive
Niffer carwash
Niffer estate
Niffer attorney
Niffer safari and tour gaid
Niffer builders
Niffer Tile's
Niffer unga wa lishe
Niffer massage
Niffer gas (hapa atapiga hela sana)
Niffer's touch

anything Niffer touch turn to gold
 
Kujifunza nini!!! Kosa limefanyika wange muelimisha wamuachie. Jeshi lipo na serikalini ndio inajichemsha zaidi na zaidi.

Nyota Nyota anayo Niffer.

Atayavuka haya, pesa si wachukue tu haraka wakazile sio kumsumbua mtoto wa watu.
Dah kwa mara ya kwanza toka nizaliwe mwaka 1979 ndio nimekupenda leo cocochanel
 
Kujifunza nini!!! Kosa limefanyika wange muelimisha wamuachie. Jeshi lipo na serikalini ndio inajichemsha zaidi na zaidi.

Nyota Nyota anayo Niffer.

Atayavuka haya, pesa si wachukue tu haraka wakazile sio kumsumbua mtoto wa watu.
Ana maduka kibao na hzo mall za mchongo, kwann asingetoa hela yake yy kama yy, awachangie waathirika. Ule ulikuwa ni upigaji.
 
Ana maduka kibao na hzo mall za mchongo, kwann asingetoa hela yake yy kama yy, awachangie waathirika. Ule ulikuwa ni upigaji.

Acha wivu... Umeandika upupwu wa gredi A***

Fanya wewe uone kama watu watajitoa kuchangia kwako. Wewe si sio tapeli..

Kesho akichangisha tena utaona tena zaidi ya ya juzi kwa lolote lile
 
Na wewe acha akili mgando hujui biashara ya online ni lazima utangaze ndio upate wateja, unadhani manguruwe alipataje wajinga wengi vile akawatapeli ?si humu humu mitandaoni ndio wajinga walipo
 

Acha wivu ya biashara yake yahuhu nini kwa jinsi alivyo na nyota yake.

Eti nini sijui nini kauze basi na wewe upendwe.. Eeeh utakuwa hauwezi so wivu roho mbaya imekubeba moyoni juu yake.

Ni jambo la aibu kuona ID ya zamani meaning ni mtu mzima halafu akili imejaa tope, unakua chawa wa binti mdogo mpaka kwenye ujinga.....
Sasa hapo na ID yangu unaichambja ha ha haaaa.. Jione lia ukitaka pokea na sindano.. 💉💉💉

Niffer binti amejaa kinyota, soriii nakuona huruma maumivu yako.
Sio kila mtu anamuonea wivu huyo binti,
Infact kwa watu wenye akili timamu tunamuonea huruma, maana ni mgonjwa wa akili tu.....

Una wivu mtupu

Eti biashara unaongelea hao hao followers wakamoa hizo pesa ha ha haaa

Wakati mwingine bana maneno coz aksheni ndio kila kitu

Niffer oyeeeeeee

Soma na humu wamo, wafungulie madarasa waje wa some njia za biashara. Na kuvutia watejaaaaaa

😛😛😛🤣🤣🤣🤣

Mtu mzima kakujibu sasa..
 
Wajinga ndio waliwao.

Kabisa unalia huko ulipotoa si ndio.. Sisi kwa Niffer tutatoa.

Maana vibuku vimeaumiza sanaaaa na subirini Mola wajibu bila nyie kujijua kwa roho mbaya kwa wahitaji na watu wametoa kwa Moyo mmoja kwa Imani kwa Niffer

Mfuko sasa kiasi gani wamepokea haswaa tangazo ndani ya saa moja ya kwanza!! Si umechangia au?

Niffer oyeeee
 
GOD bless Tanzania 🤍
 
Niffer = Mr Manguruwe.
Wajinga ndio waliwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…