Polisi wamsaka aliyesalimisha silaha kanisani baada ya kuokoka

Itakuwa ni kenya ndiyo kuna matukio ya ajabu
Sema matukio yao ni kama maigizo fulani hivi yanachekesha no wonder waliwahi kuwa na vipindi kama Vitimbi Mahakamani vya akina Masaku, Masanduku, na Mama Kayaii vikichekesha kweli kweli! Vili-reflect exactly jamii ya huko.

Ila matukio ya kutisha na ya aibu hususan mauwaji na domestic violence yako Tanzania.
 
Hapa bongo tatizo wachungaji ni wanaa, jambazi likitubu pastor anaenda kuwatonya polisi waje walikamate jambazi hilo. Kwa mtindo huo wa kinaa kwa mapastari kutoa habari kwa polisi majambazi yataogopa kutubu kwa hofu ya kuchomewa utambi
 
Gazeti Gani?

SANIFU?
 
Hapo Polisi walitakiwa watoe pongezi na ushujaa kwa mchungaji na hata wakimpata mtuhumiwa wampongeze ikiwezekana waangalie maisha yake yalivyo kama yapo chini wampe mtaji
Utakuta jamaa kauwa watu kibao na kuwaibia mali zao
Hapo akikamatwa ndio atayasema yote
 
Watu wataogopa kwenda ungama sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…