The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Umeonae, huo mkutano hauzuii chochoteHaya mambo hayahitajiki...tufanye siasa zenye ulinganifu na sio upendeleo.....CCM hatuhitaji hivi vitu ili kushinda...tuna wanachama wengi.
Heche ndio nani nchi hii? Hata mawaziri hawasimami njiani kuzungumza na wananchi huyo mhuni ni nani nchi hii? Huo ni uhaini, anayeweza kusimama njiani ni Rais wa nchi na mara chache makamu wake au waziri mkuu. Hao nyumbu kwl ni zero brain ongezea na bangi.Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
View attachment 3282904
Kwa bahati mbaya sana viongozi wako wa chama hawaamini haya unayo yaamini wewe, ndiyo maana inalazimu sasa kufanya haya tunayo yashuhudia sote!Haya mambo hayahitajiki...tufanye siasa zenye ulinganifu na sio upendeleo.....CCM hatuhitaji hivi vitu ili kushinda...tuna wanachama wengi.
Bila kujali ubovu wa fikra zako, imenilazimu kwa mara moja hii nikutaarifu ifuatavyo:Heche ndio nani nchi hii? Hata mawaziri hawasimami njiani kuzungumza na wananchi huyo mhuni ni nani nchi hii? Huo ni uhaini, anayeweza kusimama njiani ni Rais wa nchi na mara chache makamu wake au waziri mkuu. Hao nyumbu kwl ni zero brain ongezea na bangi.
Umesema hamna waziri anasimama njiani? Unaish tz au uko kwenye dunia yako?Heche ndio nani nchi hii? Hata mawaziri hawasimami njiani kuzungumza na wananchi huyo mhuni ni nani nchi hii? Huo ni uhaini, anayeweza kusimama njiani ni Rais wa nchi na mara chache makamu wake au waziri mkuu. Hao nyumbu kwl ni zero brain ongezea na bangi.
Hamna wanachama wengi, mnambeleko ya vyombo vya dola.Haya mambo hayahitajiki...tufanye siasa zenye ulinganifu na sio upendeleo.....CCM hatuhitaji hivi vitu ili kushinda...tuna wanachama wengi.