ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
sijawai kuiona, ila binti aliwepekea moto.. kwa mwanamke ambae sio mambo yake usiku kucha angekuwa hoi sana.. kuna namna , ila hekima haijatumikaUmesema video hunaiona, then unasema Binti anaumudu mchezo umejuaje km mchezo anaumudu?
We MTU! hebu nipe link nami nikachek hako ka video bhna
washatafuta mbinu ya kumnasua mwenzao. Mungu atamlipia dogoKamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika.
Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita wameshakamatwa ambao walipanga na kutekeleza uhalifu huo. Tukio hilo liliibua mijadala mikali maeneo mbalimbali, ikiwemo mitandaoni.
Ukamataji huo umewagusa pia watu wengine wanane, kati yao wakiwemo wanne waliokamatwa kwa kukiuka sheria na kusambaza picha mjongeo (video) za tukio hilo kwenye mitandao ya kijamii, zilizoonyesha tukio hilo la ukatili.
Jana Jumapili, Agosti 18, 2024, RPC wa Dodoma, Theopista akizungumza juu ya kinachoendelea kuhusu watuhumiwa hao, alisema katika uchunguzi Jeshi la Polisi lilibaini vijana hao waliotuhumiwa kwa madai ya kutumwa, walikiri kutoagizwa na askari kama ilivyoelezwa.
“Kilichobainika vijana hao hawakutumwa na askari, walikuwa kama walevi na wavuta bangi tu, lakini yule dada alikuwa kama anajiuza ‘kahaba’.”
“Neno askari ni General (jumla) kwa kuwa hata mgambo ni askari, hivyo hatuwezi kulifafanua zaidi kwa kuwa haikubainishwa wazi na tunaliacha hivyo” alisema Kamanda huyo.
#KitengeUpdates
View attachment 3073813
Na baada ya kumaliza jinsi alivyokuwa anahojiwa alikuwa mtu aso hofu kabisa...😂😂 sijawai kabisa kuiona video, ila alivyomudu kwa namna walivyokuwa wana mfanya na unyonyaji ule.. Napata confusion. RPC angeuchuna tu, baada ya kugundua hilo.. maana hii itapelekea dhahama kwa wadada wa kitambaa cheupe.. japo wengine hufanya hivyo kwa malipo maalumu na pasipo kuji record
Kwenye ku deal na upinzani serikali ipo vizuri, wale makomando wa Jwtz wa Mbowe, walikamatwa na kuteswa sana.Hum ndan kuna ubepar uliokomaa. Mwehu yule kapat Jwtz.. kila mtu atakuj kufanya kaz ya baba. Anglia wanasiasa.. na bila kuwa mbabe/nguvu haki yako utakosa.. Clinton n baba yake shule ya mbagala kuu wamesumbua sana. Mana mzee alikuwa anakuja shule kupiga mikwara walimu
Hajabakwa bhana na wewe usitumie hisia, yule kataka mwenyewe, abakwe asishitak policeKwa hiyo huo mwonekano ndio justification kuwa hawezi kubakwa?
video inajieleza kuwa alikuwa akipewa adhabu which mean alifanya bila hiari yake.
ni wasichana wangapi wanabakwa hawasemi.
wasichana wangapi wanapigwa mande hawasemi, sio jambo rahisi kama unavyofikiria wewe kwa sababu ya aibu inayoambatana na jambo hilo.
mfano wale jamaa waliombaka wewe hapo na wengi mnaona hawajapata aibu kwa zile video aliyeabika ni mdada pekee. hii pia hutokea pale video ya watu waliokubaliana wakafanya ngono na video ikavuja anayeaibika zaidi huwa ni mwanamke si mwanaume na ndio sababu wanaobakwa hawasemi.
Inaitwa kulindana maana hujui ya kesho.Wameamua kufichiana madhaifu tu
Hiyo "common sense" ndo haitumiki kwenye sheria sasa mkuu, kama huwezi kuthibitisha jambo pasi na shaka basi linabaki kuwa tuhuma tu, nothing more and nothing less.Kama linasimama kufananisha maudhui au lengo, neno kama sio mbadal wa neno ikiwa pekee. Tafuta kamusi ya kiswahili kwanza. Sheria haiwez kufananisha maudhui?. Mm sio mwanasheria natumia common sense
Ndugu zangu Watanganyika,
Tusimalize maneno. Tujikumbushe hili suala la kubakwa lilitendeka mwezi April likaja kutrend mwezi August, kama kweli alibakwa kwanini muda huo hakufika police kushitaki. Mimi hili suala nishalitilia shaka hata kipindi habari zake zinaanza kutoka.
Huyu Binti hajabakwa ni kama alitaka mwenyewe. Wale vijana ni kama walimlipa ili kumpiga mande na kukubaliana kurecord hivo. Kujamiiana kikahaba lazima lugha chafu na kaubabe kapite, wale hawakuwa wanafanya sex kistaarabu.
Tujiulize maswali, yule Binti aliingiaje geto kwa wale vijana, na wale vijana wambake yule Binti Kwa sababu zipi na wanawake wamejaa mjini. Unaweza japo kuona muonekana wa yule Binti unaoneka sio wa Binti mwenye maadali mema.
Jeshi la police lina intelejensia kali, halishindwi kupata ushahidi mdogo kama huo, naamini police wanaona kama Binti alilidhia mwenyewe Sasa hapo alibakwaje?
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Basi sawaHajabakwa bhana na wewe usitumie hisia, yule kataka mwenyewe, abakwe asishitak police
Au wewe unawazidi wenye taaluma Yao waliochunguza
Inavyoonekana hao wabakaji walitumia mtego wa pesa kumpata huyo binti ambapo hata dada ako angewekewa ange nasa na usingemuita kahabaNdugu zangu Watanganyika,
Tusimalize maneno. Tujikumbushe hili suala la kubakwa lilitendeka mwezi April likaja kutrend mwezi August, kama kweli alibakwa kwanini muda huo hakufika police kushitaki. Mimi hili suala nishalitilia shaka hata kipindi habari zake zinaanza kutoka.
Huyu Binti hajabakwa ni kama alitaka mwenyewe. Wale vijana ni kama walimlipa ili kumpiga mande na kukubaliana kurecord hivo. Kujamiiana kikahaba lazima lugha chafu na kaubabe kapite, wale hawakuwa wanafanya sex kistaarabu.
Tujiulize maswali, yule Binti aliingiaje geto kwa wale vijana, na wale vijana wambake yule Binti Kwa sababu zipi na wanawake wamejaa mjini. Unaweza japo kuona muonekana wa yule Binti unaoneka sio wa Binti mwenye maadali mema.
Jeshi la police lina intelejensia kali, halishindwi kupata ushahidi mdogo kama huo, naamini police wanaona kama Binti alilidhia mwenyewe Sasa hapo alibakwaje?
Pia soma>> Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
Tangu lini rationalisation ikawa a matter of fact or a matter of truth? Kuna watu wengi wamebakwa na hawajawahi kuripoti polisi. Je, kwa rationalisation yako, mtu asiporipoti issue yake polisi huwa tukio lililotokea kwake linafutika? Is this right reasoning?Ndugu zangu Watanganyika,