100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Hii nchi imeoza.Jwtz yule mmoja namjua Clinton kasoma Mbagala kuu secondary. Shule slikuwa mtukutu kias cha kusumbua uongozi na baba ake alikuwa jwtz kama yeye
Tumefika kubaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi imeoza.Jwtz yule mmoja namjua Clinton kasoma Mbagala kuu secondary. Shule slikuwa mtukutu kias cha kusumbua uongozi na baba ake alikuwa jwtz kama yeye
Kabla hujazeeka utashuhudia binti yako akiambukizwa ukimwiNdugu zangu Watanganyika
Tusimalize maneno,
Tujikumbushe hili suala la kubakwa lilitendeka mwezi April likaja kutrend mwezi August, kama kweli alibakwa kwanini muda huo hakufika police kushitaki,
Me hili suala nishalitilia shaka hata kipindi habari zake zinaanza kutoka.
Huyu Binti hajabakwa ni kama alitaka mwenyewe,
Wale vijana ni kama walimlipa ili kumpiga mande na kukubaliana kurecord ivo
Kujamiiana kikahaba laZima lugha chafu na kaubabe kapite, wale hawakuwa wanafanya sex kistaarabu.
Tujiulize maswali,Yule Binti aliingiaje geto Kwa wale vijana, na wale vijana wambake yule Binti Kwa sababu zipi na wanawake wamejaa mjini,
Unaweza japo kuona muonekana wa yule Binti unaoneka sio wa Binti mwenye maadali mema.
Jeshi la police Lina intelejensia kali, halishindwi kupata ushahidi mdogo kama huo, naamini police wanaona kama Binti alilidhia mwenyewe Sasa hapo alibakwaje?
Kivipi lete kifungu huko ibarani mkuuHizo "kama" "kama"' mbona nazo kama zinaleta walakini!?
Hum ndan kuna ubepar uliokomaa. Mwehu yule kapat Jwtz.. kila mtu atakuj kufanya kaz ya baba. Anglia wanasiasa.. na bila kuwa mbabe/nguvu haki yako utakosa.. Clinton n baba yake shule ya mbagala kuu wamesumbua sana. Mana mzee alikuwa anakuja shule kupiga mikwara walimuHii nchi imeoza.
Tumefika kubaya sana.
Kama linasimama kufananisha maudhui au lengo, neno kama sio mbadal wa neno ikiwa pekee. Tafuta kamusi ya kiswahili kwanza. Sheria haiwez kufananisha maudhui?. Mm sio mwanasheria natumia common senseKeyword "KAMA", hilo neno tayari limeshabeba walakini na sheria haitakiwi kuwa hivyo. Anything that can't be proven beyond reasonable doubt, has loopholes.
Wewe...kama vedeo uliona utajua namaanisha nini..??hata kama alikua anatoa ushirikiano lkn haikua sahihi inaonekan kbsa wamemlazmsha