Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi tumekubaliana mtumishi wa umma ukilikoroga unalinywa mwenyewe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti Jeshi la Polisi linajinasibu kwa kuikataa kauli ya RPC, kama hawamjui vile.... [emoji2][emoji2][emoji2]
Ulishawahi kuangalia vipindi vya Forensic Detective kwenye Discovery ChannelKama tukio lilitokea mei maana yake bint hakutoa taarifa popote na hakuna uchunguzi wa kiforensia uliofanyika.
Kesi itakuwa ngumu sana upande wa dada
Kuwa chawa inabidi ujitoe ufahamu sanasijatetea mtu popote gentleman,
na sibabaiki kusema ukweli kwamba hisia na huruma za mitandaoni katika mambo serious hasa ya kiuchunguzi na kimahakama dhidi ya manyanyaso na dhuluma za kingono alizopitia yule binti, kamwe hazitafua dafu katika kumpatia haki yake dhidi ya udhalilishaji alopitia,
by the way,
hayupo alietolewa popote,
ni vema ikafahamika vizuri kwamba mtumishi wa umma anaweza kubadilishwa kituo cha kazi kadiri inavyoonekana inafaa na kwa wakati wowote, ili kuimarisha na kuboresha utendaji wa taasisi au idara za umma na kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi kwa haki, usawa na uwazi
kuna tatizo lolote hapo gentleman?![]()
Sawa mimi ni kilaza, lakini polisi ndio wamesemaWewe ni kilaza nambari wani kwa akili zako unaona lile tukio ni la hiari?!!