Polisi: Wanaotuhumiwa kubaka na kulawiti ni kama wavuta bangi, hawakutumwa na Afande, yule dada alikuwa kama anajiuza
20240819_132214.jpg
 
Eti Jeshi la Polisi linajinasibu kwa kuikataa kauli ya RPC, kama hawamjui vile.... [emoji2][emoji2][emoji2]
Siku hizi tumekubaliana mtumishi wa umma ukilikoroga unalinywa mwenyewe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama tukio lilitokea mei maana yake bint hakutoa taarifa popote na hakuna uchunguzi wa kiforensia uliofanyika.

Kesi itakuwa ngumu sana upande wa dada
Ulishawahi kuangalia vipindi vya Forensic Detective kwenye Discovery Channel
Watu wanakamatwa wameshazeeka baada kufanya mauaji miaka zaidi ya 30 iliyopita na wanafungwa
Wakati hii kuna video kabisa ya ushahidi
Kweli Dudubaya hajakosea aliposema watu hawana elimu ya haki zao, kutwa kucha ni simba na yanga
 
sijatetea mtu popote gentleman,
na sibabaiki kusema ukweli kwamba hisia na huruma za mitandaoni katika mambo serious hasa ya kiuchunguzi na kimahakama dhidi ya manyanyaso na dhuluma za kingono alizopitia yule binti, kamwe hazitafua dafu katika kumpatia haki yake dhidi ya udhalilishaji alopitia,

by the way,
hayupo alietolewa popote,
ni vema ikafahamika vizuri kwamba mtumishi wa umma anaweza kubadilishwa kituo cha kazi kadiri inavyoonekana inafaa na kwa wakati wowote, ili kuimarisha na kuboresha utendaji wa taasisi au idara za umma na kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi kwa haki, usawa na uwazi :pulpTRAVOLTA:

kuna tatizo lolote hapo gentleman?:DisGonBGud:
Kuwa chawa inabidi ujitoe ufahamu sana
 
Hivi ni miki tu nikifungua uzi
Unakuja

Mbona sielewi hapa JF
 
Back
Top Bottom