Keyword "KAMA", hilo neno tayari limeshabeba walakini na sheria haitakiwi kuwa hivyo. Anything that can't be proven beyond reasonable doubt, has loopholes.
Natamani wajue hili watu wanajua hii nchi haina haja ya sheria tukiwa wendawzima tukikubali sheria isifuatwe tutakua taifa la hovyo km sheria haina umuhimu basi harmonize alipokopwa asamehewe deni manake ni amesingiziwa tu kakopa
 
Alietuma wahuni huyo hapo ni afande anahudumu bungeni dodoma
 

Attachments

  • IMG_20240812_185605.jpg
    67.9 KB · Views: 2
Kweli mkuu.
Wenzetu washatoka kwenye kuangalia miguvu ndo mana marekani ili uwe mwanajeshi unabid atleast utokee college ukileta wahuni jeshini huchelewi kumkuta afande yuko lindo na chupa ya hennessy wenzetu wako smart sana.
 
uko sahihi kabisaa
 
Nilishasema humu kuwa hao vijana hawatofanywa chechote kile kwasababu dalili zilionekana mwanzo hakika magufuli atakumbukwa kwa mengi
wafanywe nini wakati kahaba alikuwa anajiuza.
tupinge biashara ya ukahaba.
 
Yeye mwenyewe sio kahaba? Hicho cheo mpaka anapofika hapo amepitia milango ipi?
Huyo afande aliewatuma ni kahaba mzee anamiliki grocery dodoma...huyu hapa na sura yake ya kiume
 

Attachments

  • IMG_20240812_185611.jpg
    25.1 KB · Views: 2
Uchawa unafanya watu kuwa watumwa wa viongozi 🐷
huruma, mizaha, harakati za kisiasa na hisia potofu kwenye mambo serious ya kisheria mahakamani, zinasababisha wengi kupoteza haki zao za msingi dhidi ya dhuluma walizopitia πŸ’
 
Kwa hiyo kahaba ni ruksa kubakwa na kulawitiwa!
Ama nimeelewa vibaya?
 
Mimi ni aina ya watu Kama JPM sija angalia video Ila nimekua msomaji na mfuatiliaji wa hii saga kupitia JF na pia redion wasafi media

Kwenye jamii Kuna dada zetu Malaya na kwa ridhaa zao wanaamua kukubali kufanyiwa hivyo vitendo unakuta mtu (Malaya) kashindikana tabia za ajab kabisa alaf wakifanyiwa wanakimbilia haki za binadamu sijui katiba (malalamiko mengi)

All in all,
Kama kweli dada kaonewa Basi haki itendeke, sio TU kutendeka ionekane inatendeka

Ona Sasa afande anaingia matatizoni inamaana kabla afande Mallya hajafanya public speaking πŸ—£οΈ huwa hafanyi meeting na wataalan wake kujua ni Nini akazungumze kwa umma na Nini si Cha kuzungumza kwa UMMA (public speaking)
 
Hajabakwa bhana na wewe usitumie hisia, yule kataka mwenyewe, abakwe asishitak police
Au wewe unawazidi wenye taaluma Yao waliochunguza
Mambo ya kubakwa au umalaya au alitoa ushirikiano, hayo yote RPC angeiachia office ya mashitaka na Mahakama, yeye.angeishia kwenye kusema jalada la upelelezi lishakamilika kwa hatua zaidi z kisheria linapelekwa kwa office ya mashitaka!!
 
Duh,
Huu ni ubabaishaji wa hali ya juu sana.
Hawezi kufafanua kivipi wakati ako na watuhumiwa mkononi?
Huyu ni jipu amekosa mtumbuaji tu
Kamanda alikua anamjibu Mwandishi kama vile yuko kwenye Cross examining na Wakili Kibatala!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti Jeshi la Polisi linajinasibu kwa kuikataa kauli ya RPC, kama hawamjui vile.... πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Chawa siulikua unatetea kamanda wa polisi wa dodoma haya wamemtoa
sijatetea mtu popote gentleman,
na sibabaiki kusema ukweli kwamba hisia na huruma za mitandaoni katika mambo serious hasa ya kiuchunguzi na kimahakama dhidi ya manyanyaso na dhuluma za kingono alizopitia yule binti, kamwe hazitafua dafu katika kumpatia haki yake dhidi ya udhalilishaji alopitia,

by the way,
hayupo alietolewa popote,
ni vema ikafahamika vizuri kwamba mtumishi wa umma anaweza kubadilishwa kituo cha kazi kadiri inavyoonekana inafaa na kwa wakati wowote, ili kuimarisha na kuboresha utendaji wa taasisi au idara za umma na kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi kwa haki, usawa na uwazi

kuna tatizo lolote hapo gentleman?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…