sijatetea mtu popote gentleman,
na sibabaiki kusema ukweli kwamba hisia na huruma za mitandaoni katika mambo serious hasa ya kiuchunguzi na kimahakama dhidi ya manyanyaso na dhuluma za kingono alizopitia yule binti, kamwe hazitafua dafu katika kumpatia haki yake dhidi ya udhalilishaji alopitia,
by the way,
hayupo alietolewa popote,
ni vema ikafahamika vizuri kwamba mtumishi wa umma anaweza kubadilishwa kituo cha kazi kadiri inavyoonekana inafaa na kwa wakati wowote, ili kuimarisha na kuboresha utendaji wa taasisi au idara za umma na kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi kwa haki, usawa na uwazi
kuna tatizo lolote hapo gentleman?