Kabla hujazeeka utashuhudia binti yako akiambukizwa ukimwi
 
Hizo "kama" "kama"' mbona nazo kama zinaleta walakini!?
 
Na aliyetoa hiyo taarifa ni mwanamke,RPC Theopista Mallya......adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe
 
Hii nchi imeoza.
Tumefika kubaya sana.
Hum ndan kuna ubepar uliokomaa. Mwehu yule kapat Jwtz.. kila mtu atakuj kufanya kaz ya baba. Anglia wanasiasa.. na bila kuwa mbabe/nguvu haki yako utakosa.. Clinton n baba yake shule ya mbagala kuu wamesumbua sana. Mana mzee alikuwa anakuja shule kupiga mikwara walimu
 
Ili ku justify ujinga na uongo wako umeona uvute nyuma kidoooogo kutoka may hadi April kuonesha ni tukio la zamaaaaaaani
 
Kwa hiyo huo mwonekano ndio justification kuwa hawezi kubakwa?
video inajieleza kuwa alikuwa akipewa adhabu which mean alifanya bila hiari yake.
ni wasichana wangapi wanabakwa hawasemi.
wasichana wangapi wanapigwa mande hawasemi, sio jambo rahisi kama unavyofikiria wewe kwa sababu ya aibu inayoambatana na jambo hilo.
mfano wale jamaa waliombaka wewe hapo na wengi mnaona hawajapata aibu kwa zile video aliyeabika ni mdada pekee. hii pia hutokea pale video ya watu waliokubaliana wakafanya ngono na video ikavuja anayeaibika zaidi huwa ni mwanamke si mwanaume na ndio sababu wanaobakwa hawasemi.
 
Wanatunga uongo ambao hata mtoto mdogo hawezi kudanganywa hivyo
 
Yule binti alifanya kitu kinachoitwa 'kama huwezi kushindana nae basi ungana nae'

Alipoona wale njemba akiwakatalia watamuumiza akaamua kufanya vile wanataka ndio maana kila kitu alikifanya kwa ustadi wa hali ya juu

Ila alibakwa na sio kitu cha kuchekea, Mapolisi washalaaniwa kitambo
 
Keyword "KAMA", hilo neno tayari limeshabeba walakini na sheria haitakiwi kuwa hivyo. Anything that can't be proven beyond reasonable doubt, has loopholes.
Kama linasimama kufananisha maudhui au lengo, neno kama sio mbadal wa neno ikiwa pekee. Tafuta kamusi ya kiswahili kwanza. Sheria haiwez kufananisha maudhui?. Mm sio mwanasheria natumia common sense
 
hata kama alikua anatoa ushirikiano lkn haikua sahihi inaonekan kbsa wamemlazmsha
Wewe...kama vedeo uliona utajua namaanisha nini..??
Huyo dada inaonekana ilikuwa michezo yake ameshakubuu
Yani mtu uingiliwe kinyume na maumbile Tena na 5mens uwe katika situation hiyo...unapata.wapi nguvu ya kukata mauno??
Hata kama ingekuwa ameingiliwa mbele...kitendo cha kutoa ushirikiano na kutoonyesha kutumia kwa kuingiliwa nyuma
Kimempunguzia credit ya kuaminiwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…