Polisi wanavyoongoza genge la utekaji na kuua

Write your reply...Ni heri ukutane na jambaz au fisi simba kuliko police tz.police ni zaid ya majmbazi na mapanya road
 
Siwatetei polisi ila Geita Kuna matukio mengi ya uhalifu uchunguzi unahitajika hapa.

Kwa maelezo ya mtoa mada ni wazi jamaa hayupo tena duniani.
 
Haya mazombi lazima yazibitiwe kkamilifu yatakuja leta maafa, alafu hiko kijeshi chao kifutwe tu. Bora wajeda wareplace
 
Rais Samia kuna siku alikuwa anasimulia madhira ya polisi aliyowahi kukutana nayo cha kushangaza anaongea then aoneshi dalili zozote za kuzitatua wakati nguvu na uwezo kwasasa anazo
 
Yale yale ya mwendazake yamerudi kwa kasi tena kasi ya ajabu
 
Duuh
 
Rais Samia kuna siku alikuwa anasimulia madhira ya polisi aliyowahi kukutana nayo cha kushangaza anaongea then aoneshi dalili zozote za kuzitatua wakati nguvu na uwezo kwasasa anazo
Inasikitisha sana.
 
Yale yale ya mwendazake yamerudi kwa kasi tena kasi ya ajabu
CCM na uovu ni pete na kidole. Bila CCM nchi itabaki salama na wananchi watabaki salama lakini vinginevyo tulie tu haijalishi nani yuko madarakani. Salama ya Polisi wetu ni CCM kubaki madarakani na ndio maana polisi wetu wanakuwa mstari wa mbele katika wizi wa kura
 
Mweli safari hii tumepata Rais muuwaji kweli. kweli, hapa angekuwa JPM hadi Marekani wangepiga kelele
 
Polisi waovu wasiachwe kujiamulia kufanya uovu wapendavyo. Kila mkoa liundwe jopo la majaji kiwe kikosi kazi cha haki na utengamano ili aliyeonewa na polisi/jeshi lolote apate pa kulalamikia na kudai hakiyake maana huwezi shtaki polisi Kwapolisi.
Mfano hii kesi wa kukamatwa hapo ni mkurugenzi wa hospitali, aeleze nani alimmtoroshabmgonjwa!
 
Nisivyopenda uonevu...mara paaa...nakuwa Rais wa nchi hii - ingawa ni kitu ambacho hakiwezekani mpaka sasa, laiti ningekuwa Kikwete kipindi kile..kuna watu wanaokatili haki za watu wangelia kilio cha mende,watu wangesagwa...wasimamizi wa haki wanaoenda kinyume moto na pepo wangeviona....I WISH....
Ndo hivyo tena "IF WISHES WERE HORSES BEGGARS WOULD RIDE"
 
Tuendeleee kumuomba Mungu,

Haya hayafanyiki Kwa bahati mbaya !hii teka teka poteza poteza sio bahati mbaya !

Ni calculated mvt,lazima watolewe sadaka watu Ili mission ikamilike ndio maana kila utawala lazima watu wafe!

Tukae majumbani mwetu usiku tusizurure usiku!!
 
Ukatili wa hawa mapolisi wa CCM umetamalaki kila kona ya nchi, lakini kwasababu tunaye Rais hopeles anayewazia kuendelea kusalia madarakani kwa gharama yeyote anadhani ukatili huo ndio salama kwake kuendelea kutawala.
 
Watanzania sisi ni wabinafsi sana. Watu wanapotea, tunayasikia na kuacha. Sababu si ndugu, jamaa wala rafiki zetu. Ila kwa haya yanayoendelea, kila familia itaguswa, ndiyo watu wataona uchungu. Nasi tutakaa kimya.

Tupaze sauti hata kuomba maandamano ya amani, ili dunia ijue Tanzania kuna mamia ya watu wanatekwa na kuuliwa kinyama. Serikali itanyooshewa vidole, hata kupunguziwa au kunyimwa misaada.

Bila hivyo tutapoteza watu wengi sana. Sasa hivi kila mtu anajifanyia anavyotaka. Nchi haieleweki, ni kama tunainyemelea Haiti, tukatae hili la watu kutekwa na kuuliwa kama wanyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…