Kwani sheria inasemaje?ni sahihi kubandua plate number za mabasi kwa sababu ya mgomo?ni nani aliyegoma ni dereva au mmiliki?imagine dereva Kaacha idefinitely.
Albati msondo ndio kawaambiaNdio shida ya watu vilaza wao kila kitu ni minguvu pasipo akili .
Hii mtu yoyote timamu atabaki kushangaa ujinga wanaofanya nimesafiri na kukaa nchi nyingi sijawahi kuona polisi wanabandua number plate ya gari .
Na ni sheria ipi hapo inawaruhusu hao vilaza wa policcm kutoa hizo number plates.