BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Ndo maana yule dokta alimpalasa yule poti aliyetaka kuchomoa funguo ya gari
yaani ukiwa polisi huduma ya akili inastishwa mazima!
yaani ukiwa polisi huduma ya akili inastishwa mazima!
Sio lazima kuchangia kila kitu. Umeandika uharo mtupuAnaetafutwa hapa ni mwenye gari, dereva hana umuhimu wowote
Dereva ni muajiriwa, kati ya vifungu vya mkataba wake wa kazi kuwa atakapo kataa kufanya kazi basi na ajira yake imeisha.
Wenye kumiliki mabasi kama wameshindwa kuwadhibiti wafanyakazi wao, sasa watadhibitiwa wao ili ijulikane ni wao ndio wametoa muongozo wa mgomo au sio wao
Na kama sio wao, wanashindwa vipi kubadilisha madereva wakati watu wengi tu wanatafuta ajira za udereva wa mabasi
Nchi haiendi kwa ubabeHiyo ndiyo serikali ninayoijua mimi, hapana chezea dola kwa njia za nyuma.