Polisi Wang’oa namba za magari, madereva waliogoma kuondoa mabasi Stendi ya Magufuli

Acha wazitoe ..wamiliki wa hayo mabasi sindio wabunge na VIONGOZI wa ccm😅😅... Sasa wakichukua plate number z ester, Abood, Ally's Bm n.k hapo hakuna basi la mnyonge hata mmoja... Hapo ni Mbwa anamla mbwa mwenzake... Kikubwa ni haki za madereva ipatikane... Ikiwezekana watoe magurudum!.
 
Hiyo ndiyo serikali ninayoijua mimi, hapana chezea dola kwa njia za nyuma.
 
Kwani sheria inasemaje?ni sahihi kubandua plate number za mabasi kwa sababu ya mgomo?ni nani aliyegoma ni dereva au mmiliki?imagine dereva Kaacha idefinitely.
Wafute pia leseni za madereva na wasipate leseni popote nchini
 
Madereva hawataki kufata Sheria?
 
Haya Sasa waje watuambie ni Sheria ipi inaruhusu polisi kufanya hicho kitendo.
 
Kazi kweli kweli
Jambo la kusikilizana
Tu,hakuna haja ya kutunishiana msuli

Ova
 
Polisi wa Tanzania huwa wanafanya mambo ya kipumbavu sana kwa maelekezo ya wanasiasa ambao hawajasomeaupolisi.

Situation kama hii inatakiwa ufanye kitu kinaitwa "de-escalation", yaani unatafuta namna ya kupunguza munkari, labda kama una namna ya kuwagawa waliogoma ili itokee wengine waendelee kutoa huduma na wengine wasiendelee. Lakini migomo kama hii matajiri wa mabasi hawana cha ku-lose. Wata park mabasi. Hawawezi kufilisika hata mgomo ukiendelea mwezi mzima, kwa sababu wao sio kama waajiriwa au wanafunzi

Sasa ukiondoa namba za basi, kama ni kwenda mahakamani, utalipeleka basi, dereva au mwenye basi?
 
Msando naona FANGASI zimempanda kichwani ,azingatie DAWA vizuri.
 
Huwa wananyofoa plate number kiurahisi saba ila kwenda kuchukua ni balaa jingine. Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…