Polisi wapita Vijiweni na kutishia madereva boda boda, wawaone kwenye misafara ya CHADEMA

chararaa

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2025
Posts
1,859
Reaction score
2,894
CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na mikusanyiko ya upinzani kwanini mnawapangia wananchi ?
 
Imetokea maeneo gani mkuu?
Ukiweka na sehemu itapendeza kuweka taarifa yako kuelewaka zaidi
 
CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na mikusanyiko ya upinzani kwanini mnawapangia wananchi ?
ni vizuri kusensitize vijana kujiepusha na magenge ya vibaka na matepeli wa kisiasa wanaojificha nyuma ya mikutano ya hadhara kumbe lengo lao ni kuleta fujo.

well done Jeshi la police maeneo yote wanayofanya hivyo 🐒
 
NO REFORMS NO ELECTION
 
hiyo wanaChadema na wanainchi kwa ujumla wameikataa na kupuuza,
wamesema ni useless na completely nonsense,

kesho chadema g55 watasaini kanuni za uchaguzi katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi pamoja na vyama vingine vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu wa October.
uskose kufuatilua zoezi hili 🐒
 
kesho chadema g55 watasaini kanuni za uchaguzi katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi pamoja na vyama vingine vya siasa.
uskose kufuatilua zoezi hili 🐒

ni vizuri kusensitize vijana kujiepusha na magenge ya vibaka na matepeli wa kisiasa wanaojificha nyuma ya mikutano ya hadhara kumbe lengo lao ni kuleta fujo.

well done Jeshi la police maeneo yote wanayofanya hivyo 🐒
Kuna genge la matepeli na utekaji zaidi ya CCM Nchi hiii!
 
kiongozi wa magenge ya kihalifu katiwa mbaroni,

bado matapeli wachache wa kisiasa nao ktk muda usokua mrefu sana watatiwa nguvuni pia 🐒
 
hiyo wanaChadema na wanainchi kwa ujumla wameikataa na kupuuza,
wamesema ni useless na completely nonsense,

kesho chadema g55 watasaini kanuni za uchaguzi katika ofisi za tume huru ya taifa ya uchaguzi pamoja na vyama vingine vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi mkuu wa October.
uskose kufuatilua zoezi hili 🐒
Wanafukuzwa uanachama
 
Machawa wa ccm ni vilaza sana aisee, kweli majina huwa yanaumba
Ustaadh Yahaya Wassira

Screenshot_2025-04-09-15-20-23-1.png
 
CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na mikusanyiko ya upinzani kwanini mnawapangia wananchi ?

CCM ni Chama Cha Mambuzi. Mambuzi kama akina Lukas .... Hawataki kusikia Muziki wa No Reform No Election.....!!
 
Back
Top Bottom