Hii ni baada ya piko kutoweka?
Find where have you dropped your brain 🧠ni vizuri kusensitize vijana kujiepusha na magenge ya vibaka na matepeli wa kisiasa wanaojificha nyuma ya mikutano ya hadhara kumbe lengo lao ni kuleta fujo.
well done Jeshi la police maeneo yote wanayofanya hivyo 🐒
Ccm imefikaje mwisho we keyboard warriorMwisho wa ccm umefika rasmi
polisi wenyewe ni MISUKULE TU. Ulishaona mtu mwenye akili ANAUPIGIA SALUTI MWENGE WA UHURU MKUU?CCM kama hamtaki bora ipitishwe sheria bungeni ya kufuta upinzani , haiwezekani muanze kutuma askari polisi wapite kwenye vijiwe vya bodaboda na kuwatisha kuto shiriki kwenye mikutano na mikusanyiko ya upinzani kwanini mnawapangia wananchi ?