Labda kama ikulu kuna Super Glue, ikulu hii hii ambayo Hata nzi anatua. Don't be so sure a**hole!Lisu hawezi kukanyaga Ikulu hata siku moja.
Ccm haiwezi kutoka madarakani kwenye kizazi chetu hiki.
Bado sana
relax, just wait and see, tena kwa kizazi chenu hikihiki GZ.Lisu hawezi kukanyaga Ikulu hata siku moja.
Ccm haiwezi kutoka madarakani kwenye kizazi chetu hiki.
Bado sana
Mbona unatukana wenzako wewe una nchi gani kama sio kuambulia buku 5 ya bando.Kenya wana nini mbn walipgwa, kuuawa na wameomba poo, acha kuhamasisha upuuzi, jitokeze km we mwanaume. Nyie mambwa koko mnatumiwa kutuharibia nchi yetu mtavunjwa viuno hivyo vyenye kiherehere
Hao ni POLICCMNimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.
Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.
Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?
Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Nakukumbuka mambo kama hayavyakitokea siku za Ijumaa baada ya swala, kwa mfano siku ya hukumu yesu sio Mungu, chadema maneno mengi tu , lkn hawana kitu, leo wote wataingia mitiniNimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.
Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.
Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?
Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Ujinga tu. Hawana kazi za kufanya siku hizi? Sasa watu kwenda Mahakamani ni kosa?Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.
Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.
Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?
Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
D Saka.Labda kama ikulu kuna Super Glue, ikulu hii hii ambayo Hata nzi anatua. Do be so sure a**hole!
Mzee tuongelee reality.relax, just wait and see, tena kwa kizazi chenu hikihiki GZ.
Hapana sijakutukana umesoma Vibaya!D Saka.
Ni kwamba unanitukana ama? Sijaelewa vizuri
Poa Haina shida. Tuko pamojaHapana sijakutukana umesoma Vibaya!
Umejificha eeDuh aiseee
Ni kazi ya heshima we ndio mpuuzi, mnapanga uhalifu muachwe? Mburula utavunjwa au kupotezwa kabisa
Kwa hiyo watawazuia watu kwenda mahakamani?Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.
Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.
Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?
Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Kazi ya vyombo vya Dola ni ulinzi na usalama wa raia na mali zao, fuatilia marekani utajuaDogo hakuna chama kitakuwa madarakani bila kulindwa na Vyombo vya Dola. Ni mtu mjinga anayeweza kuamini Serikali itakuwepo bila Vyombo vya Dola vya kuhakikisha peace and tranquility inakuwepo.
Tatizo ni viongozi wanaowapa amri, jukumu lao kuu ni kulinda usalama wa raia na mali zao, sio kuzuia haki za raiaSema kazi ya upolisi ni ya kipuuzi sana. Hata wao hawapendi ila wanapelekeshwa tu kijinga.
Uwepo wa polis sio tatizo, tatizo litaanzia pale polis watakapo Anza kuzuia watu kwenda mahakamani...Ujinga tu. Hawana kazi za kufanya siku hizi? Sasa watu kwenda Mahakamani ni kosa?
Ni ujinga tu walionao hawo policcm na ccm yake. Wanaogopa watu wasiende mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao.Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.