PreGE2025 Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Evidence of this thread???
Any pictures??
 
Wanazuia watu wasiende mahakamani au wametanda tu?
 
Kazi ya Vyombo vya Dola ni kuhakikisha nchi ina amani na hicho ndicho vinachofanya. Ninyi kama mnahisi mna haki na mnaonewa pambaneni nao!
Unaogopa?

We pimbi kweli keshokutwa Mei mosi kavae lile litisheti ushangilie mitano tena kama ZUZU
 
Na nitalivaa. Wewe kama huna ajira kwasababu babaako aliishia kunywa chang'aa badala ya kukupeleka shule, pole sana!
 
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
kuhudhuria kesi ya makamu mwenyekiti acha kukurupuka sema kesi ya mwenyekiti wa chadema taifa,au bado uko na mawazo ya mbowe
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
eweliKnya wana nini mbn walipgwa,

kuuawa na wameomba poo, acha kuhamasisha upuuzi, jitokeze km we mwanaume. Nyie maKmbwa koko mnatumiwa kutuharibia nchi yetu mtavunjwa viuno hivyo vyenye kiherehere
Wewe ni CCM na CHAWA matako kufikiri siyo kichwa.

Walipigwa?Wananchi wa Kenya siyo mbumbu kama Watanzania.Ilifika sehemu Polisi wakakimbia.

Wananchi wa Kenya hawajaomba poo!Kilichotokea RUTTO ameamua kuungani na ODINGA ndiyo ikawa sehemu ya kupunguza mnkali.
 
Ukiona unakerwa na uwepo wa Polisi basi wewe ni mhalifu au mhalifu mtarajiwa.
 
pumbavu wewe, nani anapanga uhalifu? kwani ni jinai kwenda kuskiliza kesi ya mpendwa wako? nyooo[emoji57]
Mpendwa wako ishieni kumshusha na sanduku huku nchi kavu tuliza steki ukiingia tu kisutu bandama inatenguliwa
 
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.
Tatizo mnataka polisi wasijiandae ili mkifanikiwa kufanya vurugu mjitangazie ushindi.
Acheni kulaumu polisi kujiandaa kapambaneni tuone hiyo peoples power iko wapi.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Nimepatwa na mshangao kwa kukuta kila sehemu ya makutano na taa katikati ya jiji la Dar es Salaam ikiwa na magari mawili hadi matatu ya Jeshi la Polisi ambayo yamewasha double hazard na askari wakiwa na silaha wamesimama pembeni ya gari hizo.

Hii haina tafsiri zaidi ya hofu dhidi ya Chadema waliotangaza kwenda mahakama ya Kisutu kuhudhria kesi ya Makamu Mwenyekiti TAL.

Uoga huu na matumizi haya mabaya ya rasilimali za Polisi yanatupeleka wapi kama Taifa?

Huu mzaha mzaha mnaoujenga utatumbua usaha uliovunda soon.

Hata serikali ya Makaburu South Africa haikuzuia raia kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Mandela.
 
Sisi ni Wengi police ni wachache Tena twapeana zamu kwa zamu najua police masaa yake ya kazi 6 yakiisha anaanza kuchoka na hawalindi toka moyoni sema wanapelekeshwa
 
Back
Top Bottom