PreGE2025 Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kenya wana nini mbn walipgwa, kuuawa na wameomba poo, acha kuhamasisha upuuzi, jitokeze km we mwanaume. Nyie mambwa koko mnatumiwa kutuharibia nchi yetu mtavunjwa viuno hivyo vyenye kiherehere
Mbona unatukana wenzako wewe una nchi gani kama sio kuambulia buku 5 ya bando.
 
Hao ni POLICCM
 
Nakukumbuka mambo kama hayavyakitokea siku za Ijumaa baada ya swala, kwa mfano siku ya hukumu yesu sio Mungu, chadema maneno mengi tu , lkn hawana kitu, leo wote wataingia mitini
 
Ujinga tu. Hawana kazi za kufanya siku hizi? Sasa watu kwenda Mahakamani ni kosa?
 
Kwa hiyo watawazuia watu kwenda mahakamani?
 
Dogo hakuna chama kitakuwa madarakani bila kulindwa na Vyombo vya Dola. Ni mtu mjinga anayeweza kuamini Serikali itakuwepo bila Vyombo vya Dola vya kuhakikisha peace and tranquility inakuwepo.
Kazi ya vyombo vya Dola ni ulinzi na usalama wa raia na mali zao, fuatilia marekani utajua
 
Sema kazi ya upolisi ni ya kipuuzi sana. Hata wao hawapendi ila wanapelekeshwa tu kijinga.
Tatizo ni viongozi wanaowapa amri, jukumu lao kuu ni kulinda usalama wa raia na mali zao, sio kuzuia haki za raia
 
Ni ujinga tu walionao hawo policcm na ccm yake. Wanaogopa watu wasiende mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…