PreGE2025 Polisi watanda Dar es Salaam kuzuia CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unapiga mkwara uko nyuma ya keyboard nyambaff kabisa. Kutwa kucha unakula chips kavu saa ngapi utapata ujasiri wa kuwa confront polisi. Bure kabisa
 
Aya mambo ya vitisho ya police na mabunduki wananchi wanaenda wanayazoea ,

Hivi police inafikili anaeenda mahakamani atakua ana muhuri usoni ? nchi hii tunakuza mambo bila sababu ,

Tutakuepo mahakamani kusikiliza kesi na sio vinginevyo
 
Sasa kama walisema watafanya UASI si ni lazima ulinzi uimarishwe?
 
Sema kazi ya upolisi ni ya kipuuzi sana. Hata wao hawapendi ila wanapelekeshwa tu kijinga.
Wanapenda sana hujawajua tu, polisi wanapenda sana unapo tokea mchongo wa kupiga raia yaan wanaona ndio mahali pa kufanyia mazoezi baada ya kutoka depo ,vipuuzi sana vipe vijamaa
 
Mbona mimi nimepita zangu kiulaini na sasa nipo Kisutu? Hao wapo kivyao na mimi nimewapita kivyangu nipo mitaa ya Kisutu navinjari hapa.
 
Polisi kufanya doria ndio kazi Yao. Ulitaka wajifungie ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…