Polisi watangaza kufunga barabara ya kuelekea Uwanja wa Mkapa kutokea VETA/Keko

Polisi watangaza kufunga barabara ya kuelekea Uwanja wa Mkapa kutokea VETA/Keko

Simba lazima wapigwe goli tatu.Goli tatu muhimu.Dar young Africans forever.
 
Polisi wajinga utafungaje barabara kuanzia Veta, sasa hivi kuna ujenzi unaendelea mbgala foleni ni kubwa halafu wanataka kuongeza foleni
Kipande cha barabara kinachofungwa ni pale kuanzia kona ya kuelekea uwanja wa Taifa ( kona ya Duce) kutokea Veta,, hvyo barabara ya kutoka Veta mpaka kuelekea Jitegemee Sekondari itakuwa wazi

Kwenye maelezo ya sauti imefafanuliwa vizuri kabisa
 
Eeehh bhana maana hamchelewi
20210703_072409.jpg
 
Back
Top Bottom