Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Simba lazima wapigwe goli tatu.Goli tatu muhimu.Dar young Africans forever.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipande cha barabara kinachofungwa ni pale kuanzia kona ya kuelekea uwanja wa Taifa ( kona ya Duce) kutokea Veta,, hvyo barabara ya kutoka Veta mpaka kuelekea Jitegemee Sekondari itakuwa waziPolisi wajinga utafungaje barabara kuanzia Veta, sasa hivi kuna ujenzi unaendelea mbgala foleni ni kubwa halafu wanataka kuongeza foleni
Ni busara sana kuwa na njia moja huru kwa ajili ya dharura endapo kutatokea matatizo iwe rahisi kutoka kwa haraka.Polisi wajinga utafungaje barabara kuanzia Veta, sasa hivi kuna ujenzi unaendelea mbgala foleni ni kubwa halafu wanataka kuongeza foleni