Uliogopa kugawana mali mkuuNdiyo maisha! Usiombe yakukute
Si kauwa mchepuko wa mkewe? Au hizi ni rumasi tu?Nampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
Si kirahisi,Hadi ameenda na mama mtu mzima maana yake ni kuwa jamaa alikuwa king'ang'anizi. Na mke alikuwa na nia ya dhoti ya kuacha alichokuwa anafanya. Monica anastahili msamaha.
Kuna umri huwezi kumwacha mke hata kwa bunduki maana kuanza upya ni kugumu zaidi. Hata mimi mwenyewe ilinitokea na mpaka leo ninaye
Haiingii akilini mtu ajinyonge kisa kakataliwa na mke wa mtu.Tukiacha kuchukulia kawaida hii case,ukiwa kama mpelelezi unaweza amini jamaa kajinyonga?
Mimi kama mpelelezi wa kujitegemea naweza tilia mashaka kuhusu hili
inawezekana :
Marehemu kauliwa na (team masanja) kwasababu masanja alishajua marehemu alikua akimtaka mke wake.
Siamini hata kidogo kwamba masanja hajawahi pewa nyepesi nyepesi kuhusu katibu wake na mke wake (sidhani)
Naamini fika Hili tukio Masanja kama Hajalifanya yeye na kutengeneza mazingira ya marehemu kujinyonga basi (labda kweli marehemu kajinyonga).
Masanja anapost tu kuwa yuko "USA" hii yawezekana anaifanya makusudi ili kuendelea kuficha alichokifanya.
Mauaji si jambo jepesi,kweli wapo watu wanaoweza jinyonga kwa ajili ya mapenzi ila nimeanza tilia mashaka kifo cha huyu katibu "mwenye mke wake" halafu amejiua.
Naomba wote mtambue MASANJA ana pesa na sio PESA za kununua VOCHA ila ana pesa za kuweza fanya lolote akiwa popote,its just a one phone call "watu wanafanya kazi"
Tusi conclude kirahisi rahisi hili,ingekuaga hii nchi unaruhusiwa fanya upelelezi kisha ukikamilika unawapelekea jeshi la polisi,Hii case ina vingi vimejificha.
Marehemu kujinyonga 49%
Marehemu kunyongwa 51%
Ukimfumania mke wako na jamaa utachukua hatua gani? Sema ukweliSi kauwa mchepuko wa mkewe? Au hizi ni rumasi tu?
DUUU DUNIANI KUNA MAMBOMasanja yupo USA
😂 😂 😂 Siwezi kuamini kizembe.Mmmh na wewe unaamini hizo storee[emoji849][emoji849]
Vyovyote vile na udhaifu wake. Ni vizuri amemsamehe mke wake. Tunaoteseka ni sisiSi kirahisi,
Ila wanaume wengi wanaopost sana kuhusu wake zao, ni wadhaifu sana, wanatumia mitandao kuficha udhaifu wao
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Swali gumu sana. Siku zote sitaki kujua kama analiwa.Ukimfumania mke wako na jamaa utachukua hatua gani? Sema ukweli
Masanja anajaribu kufunika kombe mwanaharamu apite.Katibu kafokoa sana,mbona kaeleza yote kwenye waraka wake kuwa alichokuwa akikipata kwa mama mchungaji ni cha kipekee hajawahi pata pengine.
Basi mumwelewe masanja na maamuzi yake. Huwezi jua utachukua hatua gani hadi hapo yatakapokukutaSwali gumu sana. Siku zote sitaki kujua kama analiwa.
Demi naona umelishupalia hili suala la Masanja kisawasawaAlizitoa kwa nani?
Kweli kabisa. Hata kichaa hawezi elewa hiyo logic. Yani nitongoze mke wa mtu anikatalie niende nikajinyonge!!!?Haiingii akilini mtu ajinyonge kisa kakataliwa na mke wa mtu.
Demi issue inakuja hivi unadhani atakupenda Tena kama mwanzo japo kamsamehe na ndio maana asilimia kubwa wanaamua kuvunja ndoa kuliko kubaki na kuwa nakinyongoNampongeza masanja kwa kumsamehe mke wake. Sasa amtumikie Mungu wake kiukweli. He is a real man!
Binafsi sipo kwenye kundi linalomponda ndio maana ujaona comment yangu leo Unaweza kumcheka na kumdhiaki alafu yanakuja kupata wewe wanaomdhiaki naona ni wajinga na wenye roho za chukiMnamuonea masanja wakati ana maumivu. Sio madogo anayopitia tuwe na huruma hata kidogo