Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Hadi ameenda na mama mtu mzima maana yake ni kuwa jamaa alikuwa king'ang'anizi. Na mke alikuwa na nia ya dhoti ya kuacha alichokuwa anafanya. Monica anastahili msamaha.
Si kirahisi,
Ila wanaume wengi wanaopost sana kuhusu wake zao, ni wadhaifu sana, wanatumia mitandao kuficha udhaifu wao

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tukiacha kuchukulia kawaida hii case,ukiwa kama mpelelezi unaweza amini jamaa kajinyonga?

Mimi kama mpelelezi wa kujitegemea naweza tilia mashaka kuhusu hili

inawezekana :

Marehemu kauliwa na (team masanja) kwasababu masanja alishajua marehemu alikua akimtaka mke wake.

Siamini hata kidogo kwamba masanja hajawahi pewa nyepesi nyepesi kuhusu katibu wake na mke wake (sidhani)

Naamini fika Hili tukio Masanja kama Hajalifanya yeye na kutengeneza mazingira ya marehemu kujinyonga basi (labda kweli marehemu kajinyonga).

Masanja anapost tu kuwa yuko "USA" hii yawezekana anaifanya makusudi ili kuendelea kuficha alichokifanya.

Mauaji si jambo jepesi,kweli wapo watu wanaoweza jinyonga kwa ajili ya mapenzi ila nimeanza tilia mashaka kifo cha huyu katibu "mwenye mke wake" halafu amejiua.

Naomba wote mtambue MASANJA ana pesa na sio PESA za kununua VOCHA ila ana pesa za kuweza fanya lolote akiwa popote,its just a one phone call "watu wanafanya kazi"

Tusi conclude kirahisi rahisi hili,ingekuaga hii nchi unaruhusiwa fanya upelelezi kisha ukikamilika unawapelekea jeshi la polisi,Hii case ina vingi vimejificha.

Marehemu kujinyonga 49%
Marehemu kunyongwa 51%
Haiingii akilini mtu ajinyonge kisa kakataliwa na mke wa mtu.
 
kama mwanamke alimkataa k'mapenzi kuna siku hata moja amewahi kumuambia mumewe kua katibu anasumbua toka wanatongozana ???

mwanamke kama hajakuelewa lazima amwambie mumewe ila kama alikaa kimya mpaka kajamaa kakajidedisha maana yake aliliwa.

watalaamu wenzangu mtakua mnanielewa
 

Attachments

  • 43F0539A-9443-43C5-B483-A013B6393D9C.jpeg
    43F0539A-9443-43C5-B483-A013B6393D9C.jpeg
    18.9 KB · Views: 6
Asee naona harufu ya moto police hawazungumzii habari ya mazingira ya mtu kujiuwa. hiyo barua nani hasa aliipata kwa mara ya kwanza? na nikwanini ikasambaa kwa haraka hivyo? mi naona kuna mchezo unachezwa hapa?
 
Back
Top Bottom