kwann hakumweleza mumewe...ambae ndio boss wa huyo katibuHuyo mama mtu mzima ni nani
We kaka una tatizo?Endelea kushupaza shingo ya wanawake wenzio zamu yako inakuja!
Omba Sana , Cheka Sana Ila usiombe yakukute
Na wewe hujui tafsidaHuyo mama mtu mzima ni nani
AloohKwamba jamaa alikuwa anamtongoza TU ..then baada ya kukataliwa ndio kajinyonga sio?!!!
....fear Kato
Shem HAPANA aiseeee Mimi sio mmoja waoNyie si mnasemaga ni sahihi mtu akimfumania mtu na mke wake aadabishwe?
Mbona leo mna mkana mwenzenu masanja? (kama ni kweli anahusika).
Ndiyo,hivyo ila na wao miaka nenda rudi wamekuwa wakiwatania na kuwakashif watu kupitia vipindi vyaoMnamuonea masanja wakati ana maumivu. Sio madogo anayopitia tuwe na huruma hata kidogo
kwann umfate mtu anaekutongoza kwake? kwann kama hicho kitendo hakikumpendeza hakumweleza mumewe ambae ni boss wa huyo katibu mbona ni kama alikuwa anataka kuchomoa na mzigo upo ndani tayari ndomana alitumia njia ya kwenda kwake na mala....y mwenzake kwann alifanya siri kwa mume wake kama sio alikuwa anagogwa akataka kukatisha utamu na kijana alikuwa amenogewa..Hapana, inamlinda mchungaji na mkewe, maana polisi wanasema mama mchungaji akisindikizwa na mtu mwingine walienda kwa marehemu kumwambia aache kumtumia sms za mapenzi kwa yeye(mama mchungaji) ni mke wa mtu tayari. So inaonekana jamaa ndio kwanza alikuwa anatongoza hajala tunda
Kwa hiyo Marehemu Katibu alidanganya kwenye ule ujumbe wake? Msitufanye watotoBado mnabagaza hizi habari?
Kwanini mnavuka kile kipengele kuwa aliomba uhusiano na alikataliwa?View attachment 2376976
Mbona waraka anasema penzi limekatishwa'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
Mke ndiyo wa kuhojiwaKinacho takiwa hapa ni Masanja na Mke wake wahojiwe kwa kina juu ya sakata hili, maaana inaonekana limekubikwa na utata sana.
Sio wewe?Huyo mama mtu mzima ni nani
kwann amfate kwake na sio kuanza kumweleza mumewe ili amkanye kwann alikuwa kama anamlinda hivi kama sio alishampa alafu akataka mnyima na kijana alishakolea?'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
Habari haisemi mwanamke amefanya any cheating au sijaelewa, au kutongozwa nalo ni kosa?Naendelea kuwakumbusha wanaume kuwa hakuna mwanamke ambae ni wa peke yako kwa sasa usitumie pesa nyingi ukidhani kuwa utamfanya mwanamke atulie wala usijali kupitiliza wanawake wa sasa ni majanga, hakuna mtu aliyekuwa anajifanya kuwa ana mapenzi kama Masanja kwa mkewe ila ona alichofanyiwa.
Utaishia jela tuu na kama una watoto utawaharibia maisha yao kwa vihasira vya kipuuzi, mke au mume akitoka nje ya ndoa na mapenzi yameisha achana naye tafuta mwingine oa, kama bado unampenda msamehe maisha yaendelee, haya mambo ya kupiga au kuuana ni kujiongezea mabalaa zaidi katika maisha yako na familia yakoWathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Ni rahisii mnooo kumkataaa mtuu ambayee anakutongozaa na ajakukulaa...lkn ni vigumuu kumkataaa na kumshawishii mtu aliyekukulaa na akakuelewaa vilivyoooo..hapoo ndiooo ushawishi wa ziadaa unatakiwaaa kufanyikaaaaa ndichoo alichokifanyaa bibieeeeNauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935