Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Hapana, inamlinda mchungaji na mkewe, maana polisi wanasema mama mchungaji akisindikizwa na mtu mwingine walienda kwa marehemu kumwambia aache kumtumia sms za mapenzi kwa yeye(mama mchungaji) ni mke wa mtu tayari. So inaonekana jamaa ndio kwanza alikuwa anatongoza hajala tunda
kwann umfate mtu anaekutongoza kwake? kwann kama hicho kitendo hakikumpendeza hakumweleza mumewe ambae ni boss wa huyo katibu mbona ni kama alikuwa anataka kuchomoa na mzigo upo ndani tayari ndomana alitumia njia ya kwenda kwake na mala....y mwenzake kwann alifanya siri kwa mume wake kama sio alikuwa anagogwa akataka kukatisha utamu na kijana alikuwa amenogewa..
 
'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
Mbona waraka anasema penzi limekatishwa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kinacho takiwa hapa ni Masanja na Mke wake wahojiwe kwa kina juu ya sakata hili, maaana inaonekana limekubikwa na utata sana.
Mke ndiyo wa kuhojiwa
Labda kama mke alishawahi
Mwambia mme wake kama katibu
Anammendeaga

Ova
 
Kama katibu alikuwa anakurupuka kumtumia jumbe fupi na mwanamke asingekuwa interested, angemwambia mmewe.

Yawezekana walikuwa na uhusiano na mama mccuccu akafikia mwisho. Lakini bado sidhani kama inaweza kuwa sababu ya kujinyonga.
 
'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
kwann amfate kwake na sio kuanza kumweleza mumewe ili amkanye kwann alikuwa kama anamlinda hivi kama sio alishampa alafu akataka mnyima na kijana alishakolea?
Mbona marehemu amebainisha kwenye wosia kwamba penzi la mama mchungaji limemchanganya hajawahi pata na hategemei kupata ndio mana ameamua kujitanguliza..
 
Halafuu unawezajee kufungaa safari kwa mtu anayekutongozaaa?..Kama ingekuwaa ni hivyooo huko barabarani kungekuwaa hapatoshi kwa safarii za kwendaa kukataaa mitongozooo...Kuna kitu hakipoo sawaaa na why nyumbanii na sio kanisan sehemuu ambayoo wotee wanahudumuu?..mwanamkee mwezetuu amepuyangaaaa🙌
 
Naendelea kuwakumbusha wanaume kuwa hakuna mwanamke ambae ni wa peke yako kwa sasa usitumie pesa nyingi ukidhani kuwa utamfanya mwanamke atulie wala usijali kupitiliza wanawake wa sasa ni majanga, hakuna mtu aliyekuwa anajifanya kuwa ana mapenzi kama Masanja kwa mkewe ila ona alichofanyiwa.
Habari haisemi mwanamke amefanya any cheating au sijaelewa, au kutongozwa nalo ni kosa?
 
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Utaishia jela tuu na kama una watoto utawaharibia maisha yao kwa vihasira vya kipuuzi, mke au mume akitoka nje ya ndoa na mapenzi yameisha achana naye tafuta mwingine oa, kama bado unampenda msamehe maisha yaendelee, haya mambo ya kupiga au kuuana ni kujiongezea mabalaa zaidi katika maisha yako na familia yako
 
Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935
Ni rahisii mnooo kumkataaa mtuu ambayee anakutongozaa na ajakukulaa...lkn ni vigumuu kumkataaa na kumshawishii mtu aliyekukulaa na akakuelewaa vilivyoooo..hapoo ndiooo ushawishi wa ziadaa unatakiwaaa kufanyikaaaaa ndichoo alichokifanyaa bibieeee
 
Back
Top Bottom