Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Kwahiyo uko upande wa mr kuwa ana haki ya alichofanya

Na uko upande wa mrs sababu ni mwanamke mwenzio

Ndio sababu uko upande wao
Nimewauliza nyie wanaume ukimfumania mke wako yule jamaa utamfanyaje? Ungejibu kwanza hili..

Maana masanja angemuua mke wake mngefanya sherehe ya kumpongeza.
 
Wafuasi mnapata tabu
 
Hili jambo hata halihitaji akili nyingi kung'amua. Kuna maswali mepesi ukijachambua utapata majawabu. Swali namba moja, mtu kajiua/kajinyonga hizi case huwa hakuna mtu anaweza kushughulika na maiti au mwili zaidi ya polisi. Kama aliandika waraka/barua dakika chache kabla ya tukio lazima polisi walikusanya evidences za tukio na sio rahisi polisi kuitembeza ktk mitandao. Kama yeye mwenyewe alisambaza kabla hajajiua ndo ingekuwa rahisi zaidi maana taarifa zingekuwa wazi hata kabla ya tukio. Kama imesambazwa baada ya tukio, nani alisambaza? kwa manufaa ya nani? aliipata wapi?
-Swali lingine, hiyo issue ya mke wa mtu kwenda na mama mtu mzima kwa mtu ambaye si mumewe JUST kumwambia acha kumitongoza/kunisumbua? Kama alikuwa hamtaki na jamaa anaendelea kuinsist kwanini mama mtu mzima na sio mumewe au kijana wa kiume? Ingekuwa marehemu ni mwanamke basi tungeconcluse ni issue ya kike kumshirikisha mama mtu mzima. Lakini issue sensitive hivyo mama mtu mzima wa nn? Kwanini kama kweli alikerwa asimshirikishe mumewe au hata akamtishia kumwambia mumewe. Kama alimshirikisha mama mtu mzima kwanini huyo mama hakwenda peke yake kama ametumwa. Akamuita jamaa akamwambia ujumbe toka kwa mama mchungaji. kwanini waende wote hapa inaleta fikra za kutafutwa ushahidi wa ziada.
 
kwann hakumweleza mumewe...ambae ndio boss wa huyo katibu
Kuhusu kumueleza naweza kumtetea, wanawake huwa hawatuambii wanapotongozwa kuepusha uhasama, hasa wanaojitambua hawasemi kabisa

Mbaya zaidi huyu walishakulana asingeweza kusema[emoji28]

Ukiona mkeo anakwambia wanaomtongoza huyu anaweka gadi usijue machafu yake.
 
Kwa hiyo walishakulana sana

Ova
 
Nimewauliza nyie wanaume ukimfumania mke wako yule jamaa utamfanyaje? Ungejibu kwanza hili..

Maana masanja angemuua mke wake mngefanya sherehe ya kumpongeza.
Hili swali lako bado nalifikiria ila kwa harakaharaka kwanza sitaua halafu mazingira yakiwa magumu kwangu naweza kuhama
 
Watu wa mitandao,wanajua kila kitu.Time will tell.
 
hii ina make sense
 
Kwa hiyo huyu mke wa masanja ataendelea kuishi na masanja kwa hali hii? Hapa labda masanja ajitoe ufahamu na kuinesha dunia kuwa ana uvumilivu na anasamehe kwa upendo mkubwa.

Hakuna kitu kibaya duniani huku ukioshi kwa wasiwasi,kukosa amani ya moyo maishani mwako

Jamaa ajiangalie yeye before each and everting
Me hata niwe nmekupa nn aise nakuacha hapohapo na vyote nlivyonavo
hat km una watoto wangu 100
 
Hili swali lako bado nalifikiria ila kwa harakaharaka kwanza sitaua halafu mazingira yakiwa magumu kwangu naweza kuhama
Bora hivyo.
Sasa unakuta mtu anaua anaishia jela. Ili iweje?
 
Huyo mwanaume dhaifu wacha awahi jehanamu unalilia vipi penzi la mke wa mtu kwani Kazi ya malaya na makahaba aijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…