Ukipost ukiibiwa inauma sana maana watu wanakuwa wanamjua,na mpaka unampost ina maana unamwamini sana,stamina alichapiwa mkr hakuna aliyejali maana hajulikaniUposti usi posti anaweza ibiwa vile vile sasa huyo katibu si kila siku alikua anamuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipost ukiibiwa inauma sana maana watu wanakuwa wanamjua,na mpaka unampost ina maana unamwamini sana,stamina alichapiwa mkr hakuna aliyejali maana hajulikaniUposti usi posti anaweza ibiwa vile vile sasa huyo katibu si kila siku alikua anamuona
Nimewauliza nyie wanaume ukimfumania mke wako yule jamaa utamfanyaje? Ungejibu kwanza hili..Kwahiyo uko upande wa mr kuwa ana haki ya alichofanya
Na uko upande wa mrs sababu ni mwanamke mwenzio
Ndio sababu uko upande wao
Mkuu hao ni dada zetu ila kwa hilo hapana sema tu huyu shetani kampitiaSisemi kwa sauti ila kila mtu ajaribu kufuatilia hili, mademu wa kisukuma wanapenda ngono mfanowe labda mademu wa kipare, mtakuja kuamini.
Wafuasi mnapata tabuOya sister hebu tafuta nafasi uelewe kilichosemwa na polisi kabla hujapost mitandaoni.
Katibu alikuwa anamtaka Monica na kutuma meseji za mapenzi. Monica kamchukua mwanamke mwingine wakaenda kumpa onyo.
Katibu kaona hapa mambo yameharibika akajiua. Unless polisi walete taarifa nyingine, nahesabu monica na masanja hawana hatia.
Kuhusu kumueleza naweza kumtetea, wanawake huwa hawatuambii wanapotongozwa kuepusha uhasama, hasa wanaojitambua hawasemi kabisakwann hakumweleza mumewe...ambae ndio boss wa huyo katibu
Kwa hiyo walishakulana sanaKuhusu kumueleza naweza kumtetea, wanawake huwa hawatuambii wanapotongozwa kuepusha uhasama, hasa wanaojitambua hawasemi kabisa
Mbaya zaidi huyu walishakulana asingeweza kusema[emoji28]
Ukiona mkeo anakwambia wanaomtongoza huyu anaweka gadi usijue machafu yake.
Ujinga ndio curiosity yenyeweYani mkuu unapenda sana ubishi na kukomalia ujinga.
Hili swali lako bado nalifikiria ila kwa harakaharaka kwanza sitaua halafu mazingira yakiwa magumu kwangu naweza kuhamaNimewauliza nyie wanaume ukimfumania mke wako yule jamaa utamfanyaje? Ungejibu kwanza hili..
Maana masanja angemuua mke wake mngefanya sherehe ya kumpongeza.
hii ina make sense'hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi','marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi','walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano'.Kwa maelezo haya inaonyesha jamaa alikuwa anataka uhusiano wa kimapenzi na mke wa Masanja,sasa kwa mtiririko huu inaoyesha hawakuwa wapenzi,na huyu jamaa baada ya kuona amekataliwa akajua habari itamfikia mwenye mali hivyo akaamua kujinyonga,CASE CLOSED...
Kabisa Mrangi wanafiki sanaaaaaaaaa.Makanisani huko hamnaga kitu kabisa
Ova
Na mwanaume bora ni yupi?Mwanamke bora ni Mama yako tu mzazi naye ni kwa kuwa huwezi fatilia mambo yake-ila ukija kupewa story anakuwa hana tofauti na wanawake wengine. Wanawake tuishi nao tu kwa lengo la kuendelea kuwaleta watu duniani.
Inaonesha alikataaSasa kama imethibitika huyu mama ni mzinzi, anasubiri nini kwa masanja? Arudi kwao akaendelee na uzinzi wake kwa uhuru
Kwa hiyo huyu mke wa masanja ataendelea kuishi na masanja kwa hali hii? Hapa labda masanja ajitoe ufahamu na kuinesha dunia kuwa ana uvumilivu na anasamehe kwa upendo mkubwa.
Bora hivyo.Hili swali lako bado nalifikiria ila kwa harakaharaka kwanza sitaua halafu mazingira yakiwa magumu kwangu naweza kuhama
Nimeukumbuka wimbo wa katibu kata, kama kuna mkorongwa anayo hiyo naomba aiweke hapa nikumbukie enzi.Haahaa katibu kama katibu