econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwanini asingemuita kwa Wazee wa Kanisa na kumkanya?
Kwanini asingemsema kwa mme wake?
Kwanini asingempuuza tu?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mimi nadhani huyo mwanamke Kuna Jambo ameficha.