Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.

Huyo mama ameongezwa Happ kuokoa ndoa ya masanja. Huyo mwanamke alienda mwenyewe kwa katibu wa kanisa.
 
Sasa Kwanini asitambe na Mwanamke bado ni mwaminifu. Hajawahi msaliti. Au wewe umeelewaje. Angekula wala asingehangaika kujiua.

Anaonekana ana ugonjwa wa akili. Imaginations zake na utoto umemfanya alipokosa ajiue. Acheni wivu watanzania wenzangu. One is innocent until proven guilty.

Hakuna mahali popote pamepnyesha mke wa Masanja alikuwa na mahusiano. Kwa ajili ya kipumbavu ya Huyu jamaa lazima angepiga picha.

Kuwa mvumilivu mpaka ijumaa Mambo mengi yatakuwa yamewekwa wazi.
 
Kwenye hi kesi supect namba moja ni masanja. Kwanini amesafiri kwenda nje halfu baadae katibu wa kanisa anafariki.
What if kukimbia kitu..?? Mpelelezi yeyote hii ishu hawezi iweka kwa watu hawa watatu mke, mume na katibu... Lazima aende mbali zaidi
 
Mtu unaweza kutolewa kafara hivihivi, mimi siamini kama huyo dogo kajinyonga kweli why kuna matukio ya kutengeneza defence kabla ya tukio kwanini huyo mke wa jamaa aende na mtu mzima hapo huo ni ushahidi tosha wa polisi kuanzia uchunguzi hapo. Mimi siamini kijana mzuri handsom vile ajiuwe kisa mke wa mtu tena mchungaji wakati yule dogo kwa muonekano wake na kipato anaweza kuwa na pisi yoyote kali sana hapa mjini. Hii ni kafara kabisa. Mimi siwezi kujiua kisa mke wa mtu. Na kwanini zitapakae tuhuma za usaliti wa kizushi je kama hizo tzt za jamaa wakati anatongozaa mke wa mshikaji hakuwa na simu vipi kwamba simu yake ilitengeneza mchongo ili ionekane alituma tzt haya matukio hayaingii akilini kabisa
 
“Katibu nimekuja kukuonya usinitumie tena msg za mapenzi”
AC195C43-A27D-464B-B137-7461A5EE8C26.jpeg
 
Msisahau hii ni issue ya waumini na viongozi wa Kanisa inayoweza kuleta mgogoro katika kanisa. Hivyo mama mtumishi atakuwa amejaribu njia za kawaida ikashindikana. Hivyo kumuonyesha dogo kuwa yuko serious akamwendea na mama mzee wa kanisa. Shida iko wapi hapa? Tena afadhali kaenda na shuhuda, angeenda peke yake angeweza kubakwa na kuuwawa kabla dogo hajajiua.
Wanamuonea Monica, pengine Hata mke wa marehemu kamuua mumewe na kuiframe hio barua ili monica na mumewe wawe suspects
 
Kuna taarifa zinasambaa kwamba Masanja na mkewe watakamatw kwa ajili ya uchunguzi zaidi kuhusiana na kifo cha katibu wake wa kanisa

Inasemakana kwamba katibu uyo a kanisa la masanja wala hakujinyonga bali alinyongwa na kisha kuzusha kwamba amejinyonga

Nb tayari mwili wa Marehemu umeishazikwa, mwili huo umezikwa jana
Ibada ya mazishi iliongozwa na Masanja au?
 
Mke wa katibu kahojiwa??,nani aliongea na katibu mara ya mwisho?
 
Back
Top Bottom