Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Good question mkuu wakikujibu hili Nami nipe taarifa, why mwili uzikwe kwa haraka hivi?,hii ni cold case tayari
Tanzania hakunaga forensic na utaalamu wa haya mambo ya homicide, issue zinapigwagwa kienyeji tu , sasa jiulize mwili ushazikwa mara hii tu
 
watakuuwa weww kwanza nakukutombea watakutombea mtu anaegombana kwa ajili kafumania ni mshamba
Tangia lini 'Ngala Ngala' kama Wewe ukawa Mjanja? Mliokuja Dar es Salaam na Malori ya Mkaa, Mbuzi na Ng'ombe kama Wewe mkishauzoea Mji mnakuwa na Jeuri mno.
 
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Hahahhaha. Ebwana eeh. Nyoka hanaaa.... Hahahahha.. hatar sana we mkuumaalimu
 
Kwa hiyo huyu mke wa masanja ataendelea kuishi na masanja kwa hali hii? Hapa labda masanja ajitoe ufahamu na kuinesha dunia kuwa ana uvumilivu na anasamehe kwa upendo mkubwa.
Sijaona kosa la mke wa masanja .. binafai.. hakuna mwanamke asietongozwa.. sasa mnamlaumu yeye anakosa gan?. Katongozwa kakataa bwege limejiua..
 
Inawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako
Kwel kabisa. Haiingii akilin.. yaan kwa akil ya kawaida . Utongoze. Ukataliwe ujiue.. hii inaonekana mwamba alijulikana anakula mzigo.. mkandamizaj akammaliza akachkua simu ya marehem akapost mtandaon.. kwa akil za polis wa kibongo kesi ishaisha hyo
 
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.

Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi. Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.

Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.

========================

Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga.

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu.

Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”

Kamanda Muliro ameongeza, “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”


View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

View attachment 2376956
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne​
Kwenye biashara ya madawa ya kulevya (cocaine/ heroine), wakiku suspect tu kuwa unaweza kuwa ponzesha wakakamatwa lazima wakuue.

Masanja hana kanisa wala siyo Mchungaji Bali ni muuza madawa ya kulevya tu aliye karibu na Serikali. Kamuua tu huyo katibu hakuna cha mapenzi wala nini
 
Nyie si mnasemaga ni sahihi mtu akimfumania mtu na mke wake aadabishwe?
Mbona leo mna mkana mwenzenu masanja? (kama ni kweli anahusika).
Masanja hatoboi hii kesi watu washaweka pesa za kumframe .. yeye utajir alioupata wa siri ndo huu unamtafuna. Kama alibeba sembe halaf akatokomea nayo akawa bilionea sasa waliolizwa wamekuja kivingne.. au kama watu waliwekeza pesa kwake halaf yeye akadhulum na kuwa tajir na kujificha kwenye kivul cha uchungaj. Sada wamekuja kivingne na watamframe hii kesi hachomok. Nakaaa paleee
 
Masanja hatoboi hii kesi watu washaweka pesa za kumframe .. yeye utajir alioupata wa siri ndo huu unamtafuna. Kama alibeba sembe halaf akatokomea nayo akawa bilionea sasa waliolizwa wamekuja kivingne.. au kama watu waliwekeza pesa kwake halaf yeye akadhulum na kuwa tajir na kujificha kwenye kivul cha uchungaj. Sada wamekuja kivingne na watamframe hii kesi hachomok. Nakaaa paleee
Ukisema wamemframe nakubali.
 
😂😂😂 Rose nimesoma naye Sasa uliposema mtu mzima umenitia unyonge ina maana na Mimi ndio nimekuwa mtu mzima 😂😂😂 anyways nimeshazeeka hata hivyo 😂😂😂
Kama una 40 plus wewe ni mtu mzima kaka😅😅
 
Kwel kabisa. Haiingii akilin.. yaan kwa akil ya kawaida . Utongoze. Ukataliwe ujiue.. hii inaonekana mwamba alijulikana anakula mzigo.. mkandamizaj akammaliza akachkua simu ya marehem akapost mtandaon.. kwa akil za polis wa kibongo kesi ishaisha hyo
Hakuwepo nchini hiyo simu aliichukua saa ngapi?
 
Polisi wamemfichia tu taarifa ili kulinda utu na image yake masanja mbele ya jamii...ila kiukweli those two walikuwa na mahusiano ya kimapenzi, kama polisi wataamua kuachia mfulululizo wa mazungumzo ya sauti na sms kati ya marehemu na huyo mwanamke ,huyo masanja atabaki mdomo wazi.

Ila mwamba alifeli , why ajiue kwa ajili ya ****?? Angeendelea kukausha tu, huyo mwanamke angamtafuta mara moja moja na kumgawia uroda.

Mwanamke ukishamvua chupi huwa hana ujanja wa kukwambia kuwa mmeachana unless uwe umemkera vp sijui. Angecheza na tu na saikolojia ya mwanamke kumuektia kuwa anampenda sana mwanamke aliyemuoa halafu angeona kama huyo mke wa masanja hajamtafuta ampe mbususu.
 
Back
Top Bottom