HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Yaani mtu ujinyonge kwa kukataliwa na mke wa bosi wako?
Inawezekana Masanja alipogundua akamlazimisha mke wake aende ajifanye anamkataza kumitumia msg za mapenzi
Au inawezekana Kuna picha mbaya za mke wa Masanja huyo katibu alikuwa nazo labda akatishia kuzitoa hadharani labda masaanja akaona reputation yake itaharibika wakaamua kummaliza