Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Yaani mtu ujinyonge kwa kukataliwa na mke wa bosi wako?
Inawezekana Masanja alipogundua akamlazimisha mke wake aende ajifanye anamkataza kumitumia msg za mapenzi
Au inawezekana Kuna picha mbaya za mke wa Masanja huyo katibu alikuwa nazo labda akatishia kuzitoa hadharani labda masaanja akaona reputation yake itaharibika wakaamua kummaliza
 
Utaishia jela tuu na kama una watoto utawaharibia maisha yao kwa vihasira vya kipuuzi, mke au mume akitoka nje ya ndoa na mapenzi yameisha achana naye tafuta mwingine oa, kama bado unampenda msamehe maisha yaendelee, haya mambo ya kupiga au kuuana ni kujiongezea mabalaa zaidi katika maisha yako na familia yako
Huna Akili kama Kukaziwa Mke Kwako Juha Wewe ni Kawaida tuanikie ( tuwekee ) hapa Namba za Simu za Mkeo ili 'tukukazie' Hadi 'mtaroni' Kwake tuone kama hutochukia na utasamehe.

Mnafiki mkubwa Wewe........!!!!!!!
 
nawaomba wanaume walioa ukiona mchepuko wa mkeo usikasirike au kutafuta mauwaji,sasa hivi wake za watu wapo njenje sana hawamkatai mtu kuweni wavumilivu
 
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!

watakuuwa weww kwanza nakukutombea watakutombea mtu anaegombana kwa ajili kafumania ni mshamba
 
Ile hadithi ya mkono wa baunsa inajirudia kwa Masanja. Kule tuliambiwa video ni feki, tukapigwa na marufuku ya kuiongelea, huku tunaambiwa jamaa hakula mzigo ila ilikuwa ni hatua za mwanzo za maombi ya mzigo.

Asanteni polisi kwa kupoza mambo, angalau watu watasahau kama lile la mkono wa baunsa.

Maisha na yaendelee, story closed
 
N
😂😂😂 Rose nimesoma naye Sasa uliposema mtu mzima umenitia unyonge ina maana na Mimi ndio nimekuwa mtu mzima 😂😂😂 anyways nimeshazeeka hata hivyo 😂😂😂
Nimesema ni mtu mzima 'kirihoy' ina maana wewe huelewi baba au mama wa kiroho alivyo?

Rose ana watoto wengi sana wa 'kiroho', hata Monica ni mwanaye wa kiroho
 
Huna Akili kama Kukaziwa Mke Kwako Juha Wewe ni Kawaida tuanikie ( tuwekee ) hapa Namba za Simu za Mkeo ili 'tukukazie' Hadi 'mtaroni' Kwake tuone kama hutochukia na utasamehe.

Mnafiki mkubwa Wewe........!!!!!!!
OK tough guy, siku wakikukazia wa kwako (kisha kazwa kwanza hujui tuu ) mtandike risasi tuu then watafute waliokukazia uwatembezee kichapo, ukimaliza njoo uweke matokeo hapa, nina uhakika utakuwa jela au umeokotwa kwenye mtaro na wanao watakuwa wanaishi na bibi yao
 
Back
Top Bottom