Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Sio jambo baya lakini life will never be the same kwenye hiyo ndoa, trust mePastor anatimiza anachohubiri kwa kanisa.Ni lazima usamehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio jambo baya lakini life will never be the same kwenye hiyo ndoa, trust mePastor anatimiza anachohubiri kwa kanisa.Ni lazima usamehe
Hii imehifadhiwa na wahafidhina tayari masanja a play good kisiasa,
Once ana step nje ya mfumo wa sisiemu hili sakata litaibuliwa na ushahidi utawekwa wazi na masanja atapotezwa
Amefanya haraka kusema amesamehe labda sijui ndio kupenda huko.
Kwa amini tu wanaondoka wote wawili,kwa maana mwanamke akibaki nitamchoma sindano ya sumu mbwa huyoWewe ukimfumania mke wako utamfanyaje huyo mjamaa?
Katibu alisahau kuwa mke wa mtu sumu,ona sasa sumu imemuua, na hiyo ndoa ya mchungaji Haina huai Tena ,tutaipa miaka2 mbele ya mbinde mbinde Hadi kuachana Ila kama mtumishi kausika na wife anajua basi kwa kipindi hiko mama mchungaji nae atakua marehemu,Nitakuwa wa Mwisho kuamini kuwa Mtu anaweza kujinyonga kwa ajili ya Mke wa Mtu. Aiseee hapana, hiyo haiwezekani.
Kujinyonga kwa Mke wako naweza nikakubali, ila kwa mke wa mtu. Hiyo kwangu ni Big no
True, sasa wataishi ukitaka Kaa ukitaka ondoka sio tabu,(moyoni) Bora niwe pekeyangu kuliko kua na msalitiHivi unadhani ni kweli amemsamehe?
Lazma aishi nae atake asitake mana kwanza alikua na tambo za kutosha kuhusu mkewe lakini pili akimuacha atauhakikishia uma kuwa mkewe kachepuka and it will be really bad for him especially yeye anaejulikana kama pastor...
True,sasa wataishi ukitaka Kaa ukitaka ondoka sio tabu,(moyoni) Bora niwe pekeyangu kuliko kua na msaliti
NB
Hukumu ya msaliti ni. Kifo tuu
True a big TRUE things will never be the same again.Sio jambo baya lakini life will never be the same kwenye hiyo ndoa, trust me
Mkuu waamini polisiHiyo ni lugha tu ya funika kombe mwanaharamu apite
Kweli KabisaKatibu alisahau kuwa mke wa mtu sumu,ona sasa sumu imemuua, na hiyo ndoa ya mchungaji Haina huai Tena ,tutaipa miaka2 mbele ya mbinde mbinde Hadi kuachana Ila kama mtumishi kausika na wife anajua basi kwa kipindi hiko mama mchungaji nae atakua marehemu,
DONDA LA USALITI HALIPONI KWA MWANAUME
Mipolisi ya nchi hii ni mijitu ya ajabu sana. Wanathibitisha kwani wao ni madaktari? Mbwa wakubwa!Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi. Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.
========================
Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga.
Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu.
Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”
Kamanda Muliro ameongeza, “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”
View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.
View attachment 2376956
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne
Hawa poliCCM ni zaidi ya mbwa. Wanawezaje kutoa kauli kama hii pasipo kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kuhusu mauaji haya yaliyofadhiliwa na Masanja? Bure kabisa mbwa koko!Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.
Hapo sasa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Jamaa kaoa lakini kajiua kwa sababu ya mke wa mtu mhhhh