Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

Hii imehifadhiwa na wahafidhina tayari masanja a play good kisiasa,

Once ana step nje ya mfumo wa sisiemu hili sakata litaibuliwa na ushahidi utawekwa wazi na masanja atapotezwa

Haitokaa Itokee…Hakuna Wa kumuweza Masanjaa
 
Nitakuwa wa Mwisho kuamini kuwa Mtu anaweza kujinyonga kwa ajili ya Mke wa Mtu. Aiseee hapana, hiyo haiwezekani.

Kujinyonga kwa Mke wako naweza nikakubali, ila kwa mke wa mtu. Hiyo kwangu ni Big no
Katibu alisahau kuwa mke wa mtu sumu,ona sasa sumu imemuua, na hiyo ndoa ya mchungaji Haina huai Tena ,tutaipa miaka2 mbele ya mbinde mbinde Hadi kuachana Ila kama mtumishi kausika na wife anajua basi kwa kipindi hiko mama mchungaji nae atakua marehemu,
DONDA LA USALITI HALIPONI KWA MWANAUME
 
True, sasa wataishi ukitaka Kaa ukitaka ondoka sio tabu,(moyoni) Bora niwe pekeyangu kuliko kua na msaliti

NB: Hukumu ya msaliti ni. Kifo tuu
 
True,sasa wataishi ukitaka Kaa ukitaka ondoka sio tabu,(moyoni) Bora niwe pekeyangu kuliko kua na msaliti


NB
Hukumu ya msaliti ni. Kifo tuu

Sure Naunga Mkono hoja…
Mwanamke aki cheat Auliwe…
Sisi wanaume Hata Tukicheat Tuachwe tusiguswe!Over
Au Sio Sahihi?[emoji2368]
 
Sisi Tukicheatiwa Inauna Mnooo kuliko Mwanamke…
Hivyo Akitembea Nje ya ndoa tuu Mfanye kitu Mgoni wako Ajiue Mwenyewe halafu aandike na Usia[emoji30][emoji1787][emoji2368]
 
We jamaa nimefungua uzi kwa nguvu nikute ukiwahoji pro-mchu maswali ya kiupelezi juu ya hiyo homicide umeenda kutafuta picha? Fanya haraka uje
 
Kweli Kabisa
 
Mipolisi ya nchi hii ni mijitu ya ajabu sana. Wanathibitisha kwani wao ni madaktari? Mbwa wakubwa!
 
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.
Hawa poliCCM ni zaidi ya mbwa. Wanawezaje kutoa kauli kama hii pasipo kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kuhusu mauaji haya yaliyofadhiliwa na Masanja? Bure kabisa mbwa koko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…