King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umefunga mjadala
Hakunaga kitu kama ulokole dunianindio maana nasema hawa wanaojiita walokole huwa wanajiona washakata tiketi ya pepo kumbe ni kichaka cha maovu
Ndugu, nikwambie tu kwamba wapo wanaosamehe maana na wao mbele za mungu ni wakosaji wanacheat na kula wake za watu.Hivi unadhani ni kweli amemsamehe?
Lazma aishi nae atake asitake mana kwanza alikua na tambo za kutosha kuhusu mkewe lakini pili akimuacha atauhakikishia uma kuwa mkewe kachepuka and it will be really bad for him especially yeye anaejulikana kama pastor!
Kitachotokea ndani ya nyumba kati ya hao wawili kuanzia sasa Mungu tu ndio anaejua,ila nijuavyo mimi no man atasamehe akijua mkewe kauza mechi yani hayupo wanawake ndo tuna hiyo mioyo sio hawa wenzetu!
Na alivyochomolewa katibu kaamua kujitundikaKwamba jamaa alikuwa anamtongoza TU ..then baada ya kukataliwa ndio kajinyonga sio?!!!
....fear Kato
Linapona ukimtimua ila ukibaki naye kama sie, huwezi kumthamini tena. Mnaishi ili mradi tu.Hata akimwacha halitapona. Ni afadhali kumsamehe...
Katibu utamu alioupata hakuna sehemu nyingine aliwahi pata. Ndio shida ilipo.Watanzania tunapenda sana kutoa mjumuisho na hukumu kwa habari ndogo ndogo bila ushahidi wa kutosha....... taarifa ya polisi inasema kuwa walikuwa na mawasiliano......katika hali ya kawaida lazima wawe na mawasiliano kwa kuwa hao wanafahamiana kimajukumu.........pia inawezekana pia ikawa kijana aliwaka tamaa akawa anamtongoza mama mchungaji.........
Lakini mpaka Sasa sijaona uthibitisho wa kuwa wawili hao walikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi........
Mbona kana kwamba tulikuwa tunatazamia habari kutoka kwenye familia hii muda wowote....
Kipengele cha mchongo hichoAla!! Sikuinyaka hii, kumbe mke ndio alitia ngumu kuvua chupi, basi mwanamke apongezwe na masanja tumsifu ana mke muaminifu.
Kuna umri huwezi kumwacha mke hata kwa bunduki maana kuanza upya ni kugumu zaidi. Hata mimi mwenyewe ilinitokea na mpaka leo ninayeTunasamehe Maisha yaende tunabeba.mapungufu
Yao natunasonga
Haliwezi kupona mmeshazaa watoto wanawaunganisha.Linapona ukimtimua ila ukibaki naye kama sie, huwezi kumthamini tena. Mnaishi ili mradi tu.
Kwamba mkeo aliliwa ukamsamehe ama sijakuelewa vizuri!!??ongeza sautiKuna umri huwezi kumwacha mke hata kwa bunduki maana kuanza upya ni kugumu zaidi. Hata mimi mwenyewe ilinitokea na mpaka leo ninaye
Inawezekana Kweli masanja kamuua baada ya kugundua jamaa anamgongea alafu akaandika meseji kutengeneza mazingira jamaa aonekane kajiua, haiwezekani mtu ujiue kisa mke wa mtu na wakati mwanzo ulikua unakula ukijua kabisa siyo mali yako
Ahahahahha mkuu unazinguaWathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
Kwahiyo walikuwa kwenye uhusiano Ila mama mchungaji akaona avunje uhusiano? Kazi kweli kweliKupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.
Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.
Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.
Pia soma: IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi
========================
Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga
Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu
Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”
Kamanda Muliro ameongeza “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”
Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne
Endelea kushupaza shingo ya wanawake wenzio zamu yako inakuja!Nauliza kiko wapii??
Watu mlimtetea sana Monica wa masanja kwamba hawezi kufanya hayo mambo ya uzinifu.
Sasa basi Leo kwenye Leo tena kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam Jumanne Muliro amethibitisha kuwepo kwa mawasiliano baina ya Monica na katibu wa kanisa. Na huyu kamanda ameongea tu kiutu uzima lakini ukweli hawa walikuwa wanakulana kama ilivyo kwa watanzania wengine (hakuna maajabu kivile ila sasa wasikatae na kujiona wao ni watakatifu sanaaaa huwa hawawaki tamaa).View attachment 2376935
Kama ni kweli mbona hakuwahi kumwambia Masanja kuwa katibu anamfatilia na kumuonesha SMS
Huelewi hapo! Ukiwa huko naye, hii haikuumi maana mlimalizana. Ukiwa naye inauma maana akitoka unadhani keshakwenda kunyanduliwa. Ukikutana na mwanaume yeyote akasema mkeo anamfahamu, unaaza kujishuku kuwa pengine K ya mke wako ashainawia hata miguu. Ni ngumu kidogo.Haliwezi kupona mmeshazaa watoto wanawaunganisha.
Utamuona na kumsikia utake usitake.
Sawa.... pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”
Aliliwa nikamkamata na kumsamehe. Umeelewa bwasheeKwamba mkeo aliliwa ukamsamehe ama sijakuelewa vizuri!!??ongeza sauti
Atakuwa alipewa ndogo huyo!!??Katibu utamu alioupata hakuna sehemu nyingine aliwahi pata. Ndio shida ilipo.